Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Unaweza kulibadilisha badala ya kuzidi kulisambaza.Mimi pia sipendi kulitumia Ila ndio hivyo limeshakua jina humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kulibadilisha badala ya kuzidi kulisambaza.Mimi pia sipendi kulitumia Ila ndio hivyo limeshakua jina humu
Sahihi. Ila Mshana alichokiandika Johnny Sadick ukiangalia kwa jicho la tatu kina ukweliHivi kwanini ccm inadhani imeumbwa itawale milele? Maadui halisi wa SSH sio SG na CHADEMA bali ni watu waliomo kwenye cabinet yake
Ujumbe hautaelewekaUnaweza kulibadilisha badala ya kuzidi kulisambaza.
Utaeleweka kwa Hegelian dialectics. Mapinduzi Daima kama SMZ.Ujumbe hautaeleweka
Big up Mshana.Swali hili huwa najiuliza .Kwanini ccm wao tu wanaamini ndio wateule pekee wa kuiongoza nchi.Tupo watu wengi TU ambao hatuamini katika CCM .Hivi kwanini ccm inadhani imeumbwa itawale milele? Maadui halisi wa SSH sio SG na CHADEMA bali ni watu waliomo kwenye cabinet yake
Wawe kwa akili yako unaona inajuzu mzanzibari kuwa rais wa muungano wakati wazanzibari wenyewe wanazidi kudai uhuru zaidi nje ya muungano ....akili zitakuwa ni mbovu kabisaUrusi na Marekani japo walikuwa mahasimu waliungana na kumuangusha Hitler kwenye vita ya dunia. Ni jambo ambalo Hitler mwenyewe hakua analifikiria...
Samia anapambana na watanzania hiyo itam cost sama ....kwa kuwa uchuwake wa kukaa madalakani siyo kwa maslai ya watanzania bali maslai binafsi na genge lake la wahuni kina msoga the pusha .Urusi na Marekani japo walikuwa mahasimu waliungana na kumuangusha Hitler kwenye vita ya dunia. Ni jambo ambalo Hitler mwenyewe hakua analifikiria...
Kumbe? Kwa Nini?Sukuma gang hawawezi kuungana na Chadema ila Chadema wako tayar kuungana Msoga gang.
Zanzibar ni sehemu ya TanzaniaWawe kwa akili yako unaona inajuzu mzanzibari kuwa rais wa muungano wakati wazanzibari wenyewe wanazidi kudai uhuru zaidi nje ya muungano ....akili zitakuwa ni mbovu kabisa
Kumbe? Kwa Nini?
Aisee achaWana hasira sana nahuyu mama!!
nilikua sijui hili, najua CCM ni chama Cha kijamaa na Chadema ni mrengo wa Kati kuliaSukuma Gang siasa zao ni za kihitikadi zaidi, wenzetu kule nje wanaziita siasa za mrengo wa kushoto (Socialism) wakati Msoga na Chadema wao siasa zao za mrengo wa kati.
Hapa hawa wa mrengo wa kati ni rahisi kubadilika kuingia Sukuma Geng japo kule top kabisa ya chairman wa Chadema na Chairman wa Msoga hawa hawawezi kubadilika katu!
Sukuma gang ni akina nanikwanza?
Zanzibar ni sehemu ya Tanzania
WanakoseaHapo hapo kisanii inaitwa nchi
Siifahamu mkuuUtaeleweka kwa Hegelian dialectics. Mapinduzi Daima kama SMZ.
Mbona unahangaika sana wewe!!?Urusi na Marekani japo walikuwa mahasimu waliungana na kumuangusha Hitler kwenye vita ya dunia. Ni jambo ambalo Hitler mwenyewe hakua analifikiria.
Hii inatupa somo kuwa, watu ambao ni mahasimu wakubwa ambao hata hukufikiria wataungana, wanaweza kuungana ikiwa malengo yao yanafanana.
SG na Chadema malengo yao wote ni kumuondoa Samia madarakani 2025. Watu hawa pia siasa zao zinafanana, utawasikia wote wakilaumu serikali kwa bei za vyakula kupanda na kutaka ifunge mipaka.
Utawasikia wote wakipinga tozo, kodi na mikopo. Utawasikia wote wakipinga machinga kuondolewa barabarani. Sukuma Gang hivi sasa nao wameanza kudai Katiba mpya baada ya kundi lao kuondolewa madarakani
Samia anatakiwa kucheza karata zake kijasusi, anatakiwa kuhakikisha watu hawa wanaendelea kuchukiana na kupingana. Ama wakiungana wanaweza kuitoa ama kuijeruhi vibaya CCM.
Ni uzalendo kwa nchi yanguMbona unahangaika sana wewe!!?
CDm SG ni mwendo wa ukabila tu.Jamani,
Hao watu mnaowaita "Sukuma Gang" watafutieni jina jingine.
Wasukuma wengi hatupendi ujinga wa kuendesha siasa za kikabila, na hata Magufuli wengine hatukumkubali..
Kwa hivyo nawaomba muache kuunganisha jina la kabila lenye watu wengi sana Tanzania na siasa za kikabila ambazo wengi hatukubaliani nazo.
Mnapandikiza mbegu za ukabila na kujenga taswira kwamba Wasukuma wanapenda siasa za ukabila.
Kitu ambacho si kweli.