Rais Samia kuwa makini, Sukuma Gang na CHADEMA wanaweza kuungana

Rais Samia kuwa makini, Sukuma Gang na CHADEMA wanaweza kuungana

Mnataka kuwachonganisha wasukuma na Chadema. Sukuma gang imeanza kuimbwa huko huko CCM.

Chadema jikiteni kanda ya ziwa ukombozi wa kweli upo huko. Fanyeni rebranding ya chama ili kisikae kichaga kama inavyoimbwa ( hata kama ni uongo).

Pia msijitoe ufahamu, kanda ya ziwa huwaambii kitu kwa mpendwa wao mwendazake. Hapo msiingie kichwa kichwa, pigeni nyundo kwa akili otherwise hamtaeleweka na kampeni yenu inaweza kuja na mengine.

Fanyeni amani na wote mliokwaruzana maana ndani yake hata chama kilikosea pakubwa! Hii ni wakiwemo wabunge wa covid19. Msione haya, waiteni waonyeni na kuwapa adhabu lakini waendelee kutumikia chama. Zipo assets kuruhusu zifutike kwa mambo yanayojadilika ni kurudi nyuma ( Mbowe anajua vema maana ndio main sponsor).

Pangeni upya safu za uongozi na kwa kipindi hiki kifupi kuelekea uchaguzi wa 2025 chagueni ajenda chache na mzisimamie bila mijadala ya vichochoroni. Mkihusisha umma, mijadala iwe ya umma.

Mnahitaji kukijenga upya kitengo cha propaganda hasa mitandaoni. Kimegeuka kuwa kama wale wa Lumumba! Kumejaa kelele nyingi zisizo na tija kwa chama wala umma. Channel of communication iwe very clear badala ya kila mtu kuibua hisia zake na kupishana wakati mwingine hata fundamental principle za chama.

Maoni huru kwa maendeleo ya upinzani imara.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
nilikua sijui hili, najua CCM ni chama Cha kijamaa na Chadema ni mrengo wa Kati kulia
CCM ilianzishwa kwa misingi ya kijamaa, ila manyangau hapa kati walikuja wakapitanacho na ndiyo maana nimetumia Msoga gang sio CCM, Sasa Msogagang ni wafanyabiashara, wanakuja kukutana na Chadema ambayo kiongozi mkuu ni mfanyabiashara unategemea nn? Wajamaa hawatakiwi tena humo CCM! Kwani kiitikadi Magufuli utamtenganisha na Sokoine? Utamtenganisha na Nyerere? Utamtenganisha na Bashiru? au Polepole? Huwezi kuwatenganisha kihitikadi ila ndiyo hivo mabepari wameshika mpini.
 
Msimdanganye.

Msipindishe. Ukweli
Mirija ilikaba kweli kweli. Mkakubali mlikutana na chuma, jiwe. Sasa mnahemeka na Uhasama.


Kikubwa, msisononeke.

Hakuna,genge wala Gang lelote Tanzania linaloitwa "Sukuma Gang"

ni Maharamia hayo, ni waliofinywa Mirija.

Wanahuzunika, sasa wanataka kuiteteresha Serikali ya SSH
 
Back
Top Bottom