Rais Samia kuwa makini, Sukuma Gang na CHADEMA wanaweza kuungana

Hivi kwanini ccm inadhani imeumbwa itawale milele? Maadui halisi wa SSH sio SG na CHADEMA bali ni watu waliomo kwenye cabinet yake
Sahihi. Ila Mshana alichokiandika Johnny Sadick ukiangalia kwa jicho la tatu kina ukweli
 
Hivi kwanini ccm inadhani imeumbwa itawale milele? Maadui halisi wa SSH sio SG na CHADEMA bali ni watu waliomo kwenye cabinet yake
Big up Mshana.Swali hili huwa najiuliza .Kwanini ccm wao tu wanaamini ndio wateule pekee wa kuiongoza nchi.Tupo watu wengi TU ambao hatuamini katika CCM .

Tunawaona viongozi wazuri wengi tuu nje ya ccm.Mfumo wa uendeshaji nchi ukibadilika naamini mambo ya hovyo kama wizi,ufisadi vyeo vya upendeleo na kulindana vitapungua sana
 
Urusi na Marekani japo walikuwa mahasimu waliungana na kumuangusha Hitler kwenye vita ya dunia. Ni jambo ambalo Hitler mwenyewe hakua analifikiria...
Wawe kwa akili yako unaona inajuzu mzanzibari kuwa rais wa muungano wakati wazanzibari wenyewe wanazidi kudai uhuru zaidi nje ya muungano ....akili zitakuwa ni mbovu kabisa
 
Urusi na Marekani japo walikuwa mahasimu waliungana na kumuangusha Hitler kwenye vita ya dunia. Ni jambo ambalo Hitler mwenyewe hakua analifikiria...
Samia anapambana na watanzania hiyo itam cost sama ....kwa kuwa uchuwake wa kukaa madalakani siyo kwa maslai ya watanzania bali maslai binafsi na genge lake la wahuni kina msoga the pusha .
 
Sukuma gang hawawezi kuungana na Chadema ila Chadema wako tayar kuungana Msoga gang.
 
Wawe kwa akili yako unaona inajuzu mzanzibari kuwa rais wa muungano wakati wazanzibari wenyewe wanazidi kudai uhuru zaidi nje ya muungano ....akili zitakuwa ni mbovu kabisa
Zanzibar ni sehemu ya Tanzania
 
Sukuma Gang siasa zao ni za kihitikadi zaidi, wenzetu kule nje wanaziita siasa za mrengo wa kushoto (Socialism) wakati Msoga na Chadema wao siasa zao za mrengo wa kati.

Hapa hawa wa mrengo wa kati ni rahisi kubadilika kuingia Sukuma Geng japo kule top kabisa ya chairman wa Chadema na Chairman wa Msoga hawa hawawezi kubadilika katu!
Kumbe? Kwa Nini?
 
nilikua sijui hili, najua CCM ni chama Cha kijamaa na Chadema ni mrengo wa Kati kulia
 
Mbona unahangaika sana wewe!!?
 
CDm SG ni mwendo wa ukabila tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…