PreGE2025 Rais Samia kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa "Umoja Wa Wanaume Tanzania" utakaofanyika Dodoma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tunaposema hii nchi inahitaji total and complete overhaul mtuelewe.

Upumbavu umezidi sana kwenye hii nchi.

Badala watu wafanye masuala ya msingi hadi leo miaka 64 ya ya uhuru hatuna shule bora kwa watoto wetu, maji ya uhakika, madawa ya kutosha hospitalini na barabara nzuri za uhakika badala watu wawaze mambo ya msingi wao wanawaza upumbavu tu.

Hii nchi ni ya kufanyiwa mapinduzi.
 
Umoja wa Wanaume Tanzania unatarajia kuzinduliwa rasmi mwishoni mwa mwezi huu wa nne na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano mkubwa wa umoja huo utakaofanyika Dodoma.

Malengo makuu ya umoja huo ni kuwaunganisha Wanaume wote ndani ya Tanzania na kuwa kitu kimoja ili washirikiane kupinga kwa nguvu zote aina zote za ukatili ndani ya Jamii hususani ni kwa Wanawake na Watoto na hata baadhi ya Wanaume wanaonyanyaswa kuanzia ngazi ya Familia na Jamii.

Mwenyekiti wa Wanaume Tanzania (CWWT), Claude Benedict Kim amesema hayo mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Singida, Godwin Gondwe, wakati DC Gondwe alipomwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego, kufungua Mkutano Mkuu wa Umoja wa Wanaume Tanzania, ambao umefanyika Mkoani Singida ikiwa ni maandalizi ya mkutano mkubwa utakaofanyika Mkoani Dodoma utakaombatana na uzinduzi wa umoja huo.

DC Gondwe kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Singida, ametoa wito kwa Umoja wa Wanaume Tanzania kuwa chachu ya maadili mema kwa Vijana wa kiume na akina Baba

“Tumieni Umoja huu, kuwakumbusha Vijana wa kiume na akina Baba, kuwajibika katika Familia na nchi ili kupunguza madhara yanayotokea kwa kuharibi Famili, katika tamaduni zetu, Wamasai wana njia bora ya kulea Vijana wa kiume kuwa Wanaume, zipo tamaduni zetu bora zitunzwe”

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Wanaume Tanzania (CWWT), Claude Benedict Kim amekabidhi Katiba ya Umoja na Nyaraka mbalimbali za usajili na Gondwe ameahidi kuzifikisha kwa Mkuu wa Mkoa Halima Dendego ambaye amewaahidi kuwapa eneo la ujenzi wa Makao Makuu ya Umoja wa Wanaume Tanzania.

View attachment 3291212

Source: Millard Ayo
Siungani na wapuuzi mimi.
Yaani na mimi NIWE KUNDI MAALUMU ?
Siwezi kuwa special group mimi,nimekamilika!
 
Mmmmh
 
Rais wetu wa umoja wa wanaume ni achraf akim, na ajenda zinafahamika unless uwe mtoro wa vikao.

Hao sijui cwwt nadhan ni praise team mpya
 
Kwa uelewa wangu hizi special days/cku maalum zilitengwa kwa ajili ya watu maalum wenye mahitaji maalum kama walemavu,watoto,wagonjwa,wanawake e.t.c.Kwa miaka nenda rudi dunia imeshuhudia ukandamizaji mkubwa wa haki ya mwanamke katika kila nyanja hvyo bac wanawake wamekuwa ni kundi lenye mahitaji muhim.Dunia cku zote ni ya mwanaume na viumbe vingine vyote including wanawake wanatawaliwa na wenye dunia na ndo maana zimetengwa cku maalum kupunguza makali ya utawala wa mwanaume.Leo hii wanaume wanataka cku maalum ni dalili kuwa tumeminywa mpaka tunataka tuonewe huruma!!!?.Hyo huruma kutoka kwa nani? Wanawake au.....
 
NONSENSE. Ujinga fulani hivi ili kupotezea agenda za msingi. Iko siku tutafika.
 
Kwa uelewa wangu hizi special days/cku maalum zilitengwa kwa ajili ya watu maalum wenye mahitaji maalum kama walemavu,watoto,wagonjwa,wanawake e.t.c.Kwa miaka nenda rudi dunia imeshuhudia ukandamizaji mkubwa wa haki ya mwanamke katika kila nyanja hvyo bac wanawake wamekuwa ni kundi lenye mahitaji muhim.Dunia cku zote ni ya mwanaume na viumbe vingine vyote including wanawake wanatawaliwa na wenye dunia na ndo maana zimetengwa cku maalum kupunguza makali ya utawala wa mwanaume.Leo hii wanaume wanataka cku maalum ni dalili kuwa tumeminywa mpaka tunataka tuonewe huruma!!!?.Hyo huruma kutoka kwa nani? Wanawake au.....
Mkuu, Haina maana hiyo uliyosema.
 
Back
Top Bottom