Mrs Byesige
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 2,025
- 3,969
Umemaliza.Mkutano wa kihuni tu na utakuwa wa kujipendekeza kwa huyo mwalikwa.
Na vile ni.mwaka wa uchaguzi
Umemaliza.Mkutano wa kihuni tu na utakuwa wa kujipendekeza kwa huyo mwalikwa.
Yaani inaogopeshaTaratiiibu mpaka tutaanza kusikia mwanaume akiwezeshwa anaweza. Tuendelee tu na hii michezo.
Baadae wataunga mkono uteuzi wake kuwa mgombea pekee urais CCM.Mkutano wa kihuni tu na utakuwa wa kujipendekeza kwa huyo mwalikwa.
Ndo maana wakafanyia karibu na hapo Mirembe.Walio andaa wapimwe aikili au wapelekwe milembe?
Kama una mtoto wa kiume hakikisha anaspend time na babu zake kama wapo. Huko tuendapo watoto watakosa mashujaa wa kuwatazama.Yaani inaogopesha
Naona kabisaa hiki kizazi cha wanaume kinaenda kupata laana kilichobaki wataomba waanze kusalishwa na wanawake,hivi wanaujua umuhimu wa mwanaume mbele ya uso wa aliyewaumba?Umoja wa Wanaume Tanzania unatarajia kuzinduliwa rasmi mwishoni mwa mwezi huu wa nne na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano mkubwa wa umoja huo utakaofanyika Dodoma.
Malengo makuu ya umoja huo ni kuwaunganisha Wanaume wote ndani ya Tanzania na kuwa kitu kimoja ili washirikiane kupinga kwa nguvu zote aina zote za ukatili ndani ya Jamii hususani ni kwa Wanawake na Watoto na hata baadhi ya Wanaume wanaonyanyaswa kuanzia ngazi ya Familia na Jamii.
Mwenyekiti wa Wanaume Tanzania (CWWT), Claude Benedict Kim amesema hayo mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Singida, Godwin Gondwe, wakati DC Gondwe alipomwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego, kufungua Mkutano Mkuu wa Umoja wa Wanaume Tanzania, ambao umefanyika Mkoani Singida ikiwa ni maandalizi ya mkutano mkubwa utakaofanyika Mkoani Dodoma utakaombatana na uzinduzi wa umoja huo.
DC Gondwe kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Singida, ametoa wito kwa Umoja wa Wanaume Tanzania kuwa chachu ya maadili mema kwa Vijana wa kiume na akina Baba
“Tumieni Umoja huu, kuwakumbusha Vijana wa kiume na akina Baba, kuwajibika katika Familia na nchi ili kupunguza madhara yanayotokea kwa kuharibi Famili, katika tamaduni zetu, Wamasai wana njia bora ya kulea Vijana wa kiume kuwa Wanaume, zipo tamaduni zetu bora zitunzwe”
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Wanaume Tanzania (CWWT), Claude Benedict Kim amekabidhi Katiba ya Umoja na Nyaraka mbalimbali za usajili na Gondwe ameahidi kuzifikisha kwa Mkuu wa Mkoa Halima Dendego ambaye amewaahidi kuwapa eneo la ujenzi wa Makao Makuu ya Umoja wa Wanaume Tanzania.
View attachment 3291212
Source: Millard Ayo
Ninao wa kunitosha ..aise tuendako sio kabisaKama una mtoto wa kiume hakikisha anaspend time na babu zake kama wapo. Huko tuendapo watoto watakosa mashujaa wa kuwatazama.
Moderator wa leo kalewa... Kaunganisha uzi wa umoja wa wanaume kwenye uzi wa mpiraUmoja wa Wanaume Tanzania unatarajia kuzinduliwa rasmi mwishoni mwa mwezi huu wa nne na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano mkubwa wa umoja huo utakaofanyika Dodoma.
Mwenyekiti wa Wanaume Tanzania (CWWT), Claude Benedict Kim amesema hayo mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Singida, Godwin Gondwe, wakati DC Gondwe alipomwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego, kufungua Mkutano Mkuu wa Umoja wa Wanaume Tanzania, ambao umefanyika Mkoani Singida ikiwa ni maandalizi ya mkutano mkubwa utakaofanyika Mkoani Dodoma utakaombatana na uzinduzi wa umoja huo.
DC Gondwe kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Singida, ametoa wito kwa Umoja wa Wanaume Tanzania kuwa chachu ya maadili mema kwa Vijana wa kiume na akina Baba “Tumieni Umoja huu, kuwakumbusha Vijana wa kiume na akina Baba, kuwajibika katika Familia na nchi ili kupunguza madhara yanayotokea kwa kuharibi Famili, katika tamaduni zetu, Wamasai wana njia bora ya kulea Vijana wa kiume kuwa Wanaume, zipo tamaduni zetu bora zitunzwe”
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Wanaume Tanzania (CWWT), Claude Benedict Kim amekabidhi Katiba ya Umoja na Nyaraka mbalimbali za usajili na Gondwe ameahidi kuzifikisha kwa Mkuu wa Mkoa Halima Dendego ambaye amewaahidi kuwapa eneo la ujenzi wa Makao Makuu ya Umoja wa Wanaume Tanzania.
Malengo makuu ya umoja huo ni kuwaunganisha Wanaume wote ndani ya Tanzania na kuwa kitu kimoja ili washirikiane kupinga kwa nguvu zote aina zote za ukatili ndani ya Jamii hususani ni kwa Wanawake na Watoto na hata baadhi ya Wanaume wanaonyanyaswa kuanzia ngazi ya Familia na Jamii.
#MillardAyoUPDATES
Hivi karibuni Makamu wa Rais Mpango na Waziri Gwajima walitoa wito wa Kutambuliwa Kwa siku ya Wanaume Duniani kama Sherehe rasmi ya Serikali kama livyo siku ya Wanawake.
Sasa inatarajia Rais Samia kuzindua mkutano Mkuu wa wanaume Dodoma ambapo huenda akatangaza Serikali kuanza kuadhimisha siku ya Wanaume Duniani kama Sherehe rasmi.
View: https://x.com/millardayo/status/1907394428605489608?t=CrnkL1k1f7KaDhiXfRTDqA&s=19
My Take
Wanaume mumefikiwa,Sasa huenda manyanyaso yakapungua maana Tutapata watetezi wengi.
Kabisa aisee. Hata kama ni uchawa this is too muchWalio andaa wapimwe aikili au wapelekwe milembe?