Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Aje amevaa boksa🥶🤣Mkutano wa wanaume anazindua mwanamke.......SI Bora hata mngemchukua mzee mpili mara mia
I concur, mambo ya hovyo kabisa haya...Ila samia anaweza kufanya vitu vya mabinti wanaovunja ungo na sio kua kiongozi wa nchi.! Pole yetu.
Tunakupa kazi ya kumkagua kama atavaa🤣🤣🤣Aje amevaa boksa🥶🤣
Mara paap, nimetupwa, kule msituni Jina miili ilipokuwa inaokotwaTunakupa kazi ya kumkagua kama atavaa🤣🤣🤣
Halafu tumboni pameandikwa "huna adabu" na kusainiwa na mheshimiwaMara paap, nimetupwa, kule msituni Jina miili ilipokuwa inaokotwa
Tafadhali mimi ni kijana mbichi bado poumbu zangu hazijatoa wajukuu wa samiaHalafu tumboni pameandikwa "huna adabu" na kusainiwa na mheshimiwa
Siungani na wapuuzi mimi.Umoja wa Wanaume Tanzania unatarajia kuzinduliwa rasmi mwishoni mwa mwezi huu wa nne na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano mkubwa wa umoja huo utakaofanyika Dodoma.
Malengo makuu ya umoja huo ni kuwaunganisha Wanaume wote ndani ya Tanzania na kuwa kitu kimoja ili washirikiane kupinga kwa nguvu zote aina zote za ukatili ndani ya Jamii hususani ni kwa Wanawake na Watoto na hata baadhi ya Wanaume wanaonyanyaswa kuanzia ngazi ya Familia na Jamii.
Mwenyekiti wa Wanaume Tanzania (CWWT), Claude Benedict Kim amesema hayo mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Singida, Godwin Gondwe, wakati DC Gondwe alipomwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego, kufungua Mkutano Mkuu wa Umoja wa Wanaume Tanzania, ambao umefanyika Mkoani Singida ikiwa ni maandalizi ya mkutano mkubwa utakaofanyika Mkoani Dodoma utakaombatana na uzinduzi wa umoja huo.
DC Gondwe kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Singida, ametoa wito kwa Umoja wa Wanaume Tanzania kuwa chachu ya maadili mema kwa Vijana wa kiume na akina Baba
“Tumieni Umoja huu, kuwakumbusha Vijana wa kiume na akina Baba, kuwajibika katika Familia na nchi ili kupunguza madhara yanayotokea kwa kuharibi Famili, katika tamaduni zetu, Wamasai wana njia bora ya kulea Vijana wa kiume kuwa Wanaume, zipo tamaduni zetu bora zitunzwe”
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Wanaume Tanzania (CWWT), Claude Benedict Kim amekabidhi Katiba ya Umoja na Nyaraka mbalimbali za usajili na Gondwe ameahidi kuzifikisha kwa Mkuu wa Mkoa Halima Dendego ambaye amewaahidi kuwapa eneo la ujenzi wa Makao Makuu ya Umoja wa Wanaume Tanzania.
View attachment 3291212
Source: Millard Ayo
Kweli we kazi haikufai ...pendekeza mtu mwengineTafadhali mimi ni kijana mbichi bado poumbu zangu hazijatoa mtoto
MamaSamia2025Kweli we kazi haikufai ...pendekeza mtu mwengine
MmmmhUmoja wa Wanaume Tanzania unatarajia kuzinduliwa rasmi mwishoni mwa mwezi huu wa nne na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano mkubwa wa umoja huo utakaofanyika Dodoma.
Malengo makuu ya umoja huo ni kuwaunganisha Wanaume wote ndani ya Tanzania na kuwa kitu kimoja ili washirikiane kupinga kwa nguvu zote aina zote za ukatili ndani ya Jamii hususani ni kwa Wanawake na Watoto na hata baadhi ya Wanaume wanaonyanyaswa kuanzia ngazi ya Familia na Jamii.
Mwenyekiti wa Wanaume Tanzania (CWWT), Claude Benedict Kim amesema hayo mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Singida, Godwin Gondwe, wakati DC Gondwe alipomwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego, kufungua Mkutano Mkuu wa Umoja wa Wanaume Tanzania, ambao umefanyika Mkoani Singida ikiwa ni maandalizi ya mkutano mkubwa utakaofanyika Mkoani Dodoma utakaombatana na uzinduzi wa umoja huo.
DC Gondwe kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Singida, ametoa wito kwa Umoja wa Wanaume Tanzania kuwa chachu ya maadili mema kwa Vijana wa kiume na akina Baba
“Tumieni Umoja huu, kuwakumbusha Vijana wa kiume na akina Baba, kuwajibika katika Familia na nchi ili kupunguza madhara yanayotokea kwa kuharibi Famili, katika tamaduni zetu, Wamasai wana njia bora ya kulea Vijana wa kiume kuwa Wanaume, zipo tamaduni zetu bora zitunzwe”
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Wanaume Tanzania (CWWT), Claude Benedict Kim amekabidhi Katiba ya Umoja na Nyaraka mbalimbali za usajili na Gondwe ameahidi kuzifikisha kwa Mkuu wa Mkoa Halima Dendego ambaye amewaahidi kuwapa eneo la ujenzi wa Makao Makuu ya Umoja wa Wanaume Tanzania.
View attachment 3291212
Source: Millard Ayo
Hawako serious kabisa na huo mkutano, itakuwa mkutano wa machawa huoMkutano wa wanaume anazindua mwanamke.......SI Bora hata mngemchukua mzee mpili mara mia
Wavalishwe maderaWalio andaa wapimwe aikili au wapelekwe milembe?
NONSENSE. Ujinga fulani hivi ili kupotezea agenda za msingi. Iko siku tutafika.Umoja wa Wanaume Tanzania unatarajia kuzinduliwa rasmi mwishoni mwa mwezi huu wa nne na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano mkubwa wa umoja huo utakaofanyika Dodoma.
Malengo makuu ya umoja huo ni kuwaunganisha Wanaume wote ndani ya Tanzania na kuwa kitu kimoja ili washirikiane kupinga kwa nguvu zote aina zote za ukatili ndani ya Jamii hususani ni kwa Wanawake na Watoto na hata baadhi ya Wanaume wanaonyanyaswa kuanzia ngazi ya Familia na Jamii.
Mwenyekiti wa Wanaume Tanzania (CWWT), Claude Benedict Kim amesema hayo mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Singida, Godwin Gondwe, wakati DC Gondwe alipomwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego, kufungua Mkutano Mkuu wa Umoja wa Wanaume Tanzania, ambao umefanyika Mkoani Singida ikiwa ni maandalizi ya mkutano mkubwa utakaofanyika Mkoani Dodoma utakaombatana na uzinduzi wa umoja huo.
DC Gondwe kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Singida, ametoa wito kwa Umoja wa Wanaume Tanzania kuwa chachu ya maadili mema kwa Vijana wa kiume na akina Baba
“Tumieni Umoja huu, kuwakumbusha Vijana wa kiume na akina Baba, kuwajibika katika Familia na nchi ili kupunguza madhara yanayotokea kwa kuharibi Famili, katika tamaduni zetu, Wamasai wana njia bora ya kulea Vijana wa kiume kuwa Wanaume, zipo tamaduni zetu bora zitunzwe”
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Wanaume Tanzania (CWWT), Claude Benedict Kim amekabidhi Katiba ya Umoja na Nyaraka mbalimbali za usajili na Gondwe ameahidi kuzifikisha kwa Mkuu wa Mkoa Halima Dendego ambaye amewaahidi kuwapa eneo la ujenzi wa Makao Makuu ya Umoja wa Wanaume Tanzania.
View attachment 3291212
Source: Millard Ayo
point zote zitaishia na mama kawezesha mpaka utungaji wa shahawaHawako serious kabisa na huo mkutano, itakuwa mkutano wa machawa huo
Mkuu, Haina maana hiyo uliyosema.Kwa uelewa wangu hizi special days/cku maalum zilitengwa kwa ajili ya watu maalum wenye mahitaji maalum kama walemavu,watoto,wagonjwa,wanawake e.t.c.Kwa miaka nenda rudi dunia imeshuhudia ukandamizaji mkubwa wa haki ya mwanamke katika kila nyanja hvyo bac wanawake wamekuwa ni kundi lenye mahitaji muhim.Dunia cku zote ni ya mwanaume na viumbe vingine vyote including wanawake wanatawaliwa na wenye dunia na ndo maana zimetengwa cku maalum kupunguza makali ya utawala wa mwanaume.Leo hii wanaume wanataka cku maalum ni dalili kuwa tumeminywa mpaka tunataka tuonewe huruma!!!?.Hyo huruma kutoka kwa nani? Wanawake au.....