Rais Samia kuwa mgeni rasmi kongamano la BAWACHA siku ya wanawake duniani

Kwa hiyo yeye ni sponsor ila kwake hakuna machafuko
Huo ndo tunaita nchi za kikristo mana yake uuaji na uhayawani. Anajiona kapatia kumbe mbele ya mungu ni chukizo. Uislamu hauna hizo mambo
 
Walete walete mama, fimbo ya mbali haiuwi nyoka, wasogeze
 
Marekani ndo sponsors wa haya machafuko dogo. Muombe mungu urusi awe baba wa Dunia machafuko yote duniani yataisha. We ndo hujui kitu
Wewe unaleta udini humu.
Wakati iyo dini yenu ndio inaongoza kwa watu kujitoa muhanga eti mfia dini.kwamba ukifa na makafili unaenda peponi. Huwa mafundishana uadui toka mpo madrasa ndio maana mmjaa chuki
 
Mkuu kwanini usianzishe na wewe chama chako ili urambe asali? Usitegemee binadamu kukutatulia shida zako na acha wivu.
 

Safi Sana CHADEMA, naona mmebadilisha approach ya Vita.
 
Wewe unaleta udini humu.
Wakati iyo dini yenu ndio inaongoza kwa watu kujitoa muhanga eti mfia dini.kwamba ukifa na makafili unaenda peponi. Huwa mafundishana uadui toka mpo madrasa ndio maana mmjaa chuki
Hii ndo dini ya mnyazi mungu tunataka muslimu ili msije ikosa Pepo. Ukifa mkristo unaingia motoni mojakwamoja ndo mana Huwa tunataka msiende huko
 

CHADEMA ilishawatimua covid 19, wao wakakimbilia mahakamani. Sasa hapo nani wakulaumiwa. Halafu, anagalia approach CHADEMA wanayoitumia ndio utaelewa wanapoelekea.
 
Hii ndiyo njia JPM alitakiwa kuitumia Kuiua CHADEMA na si ile aliyoitumia!

Ni swala la Muda tu, watanzania wataamua watakavyo pigia chama gani katika uchaguzi Mkuu!

Maisha yanakwenda kwa kasi sana!

Kwa hivyo watanzania hawataipigia kura CHADEMA kisa imemwalika rais wa nchi kwenye mkutano wa BAWACHA?. Wakati CHADEMA wanalimwa risasi na kesi za m hongo hao wananchi walikuwa wapi?, Acha kuwasingizia wananchi kwa Jambo ambalo sio lao.
 
Kwa hivyo watanzania hawataipigia kura CHADEMA kisa imemwalika rais wa nchi kwenye mkutano wa BAWACHA?. Wakati CHADEMA wanalimwa risasi na kesi za m hongo hao wananchi walikuwa wapi?, Acha kuwasingizia wananchi kwa Jambo ambalo sio lao.
Uneweka na picha ya mbowe alafu unaongea pumba hivi. 😂😂😂😂
 
All in all upinzani sio chama wameonyesha tamaa yao sasa wanajali matumbo tukomae hukuhuku Ccm

Ila mama yetu anajua kula na kipofu hongera kwake

CHADEMA ni magenious wameamua kuwapiga usoni, mmebaki kulalamika. Wakati Lissu analimwa Risasi, Sugu anatupwa jela, Saanane anauawa, mliicheka CHADEMA na kuiidhihaki, leo CHADEMA wamapata Rais anaowaelewa mmebaki kupuyanga wakati vyama vipo vingi.
 

Viongozi WAISLAMU wanakuwaga na ROHO NZURI Saana
 

Tuwe wakweli CHADEMA wameamua kutumia approach tofauti, baada ya kujua nature ya wananchi wake.
 

Samiah anaenda Kama Rais. Mkiambiwa katiba mpya hamtaki ili kutenganisha urais na Mwenyekiti wa chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…