Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa ni msukuma wa ndani ndani huko Ihayabuyaga"Muliobeza" na "Munaona" - atakuwa anatoka wapi huyu?
Chattle"Muliobeza" na "Munaona" - atakuwa anatoka wapi huyu?
WabejaAtakuwa ni msukuma wa ndani ndani huko Ihayabuyaga
Huyu kama sio Mkurya atakuwa msukuma"Muliobeza" na "Munaona" - atakuwa anatoka wapi huyu?
Kikubwa ujumbe uwafikie tu wadau wote."Muliobeza" na "Munaona" - atakuwa anatoka wapi huyu?
MbuyaHuyu kama sio Mkurya atakuwa msukuma
Au amekula maharage ya wapi huyu 🤣🤣🤣"Muliobeza" na "Munaona" - atakuwa anatoka wapi huyu?
CCM ni chama cha hovyo snWakuu Mama Amesema Hakuna Kupoa Wala Kutulia Chini.
.
Rais Samia Kesho Jumatano atafungua ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Julius Nyerere kilichopo Kibaha mkoani Pwani.
.
Viongozi mbalimbali wa chama tawala na Serikali wameshiriki Ufunguzi huo, wakiwemo viongozi mbalimbali wa vyama vya ANC (Afrika Kusini), Swapo (Namibia), MPLA ( Zimbabwe), Frelimo (Msumbiji) na ZANU-PF.
.
Ufunguzi huo pia unatarajia kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama cha Kikomunisti cha Watu wa China (CPC), Song Tao.
.
Akizungumza leo Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka amesema chuo hicho kitakuwa kikiwaandaa viongozi na kuwapika makada wa chama hicho na vyama vingine vilivyoshiriki harakati za ukombozi kusini mwa bara la Afrika.
.
Shaka amesema, Hiki ni chuo cha CCM chenye lengo la kuwanoa viongozi wa chama kama ilivyokuwa miaka ya nyuma kwa hiyo tunatarajia darasa la mwanzo kabisa kuanza 2022 kitakapokamilika, amesema.
.
Hakuna Kupoa, Hangaya Hataki utani Kabisa
Kwa safari hajamboHivi jana si alikua Ngara huyu maza?
CCM inapika Makada wake wawe Viongozi wazuri na kuimarisha Chama Kitaasisi zaidi. Vipi vile Vyama vingine vina hata Madrasa ya Uongozi? Ndo maana Vijana wa vile Vyama vya Upinzani wanachojua ni matusi tu na kutukana sababu hawajalelewa. CCM inalea Viongozi ndo maana unaona ina hazina kubwa sana ya Viongozi. Kesho tena, hapa Kibaha CCM iko kazini. Hongereni sana CCM.
Ni kwa ajili ya taifa
Dunia ya sasa lazima ujichanganye na wenzio hata wewe huwezi ukajifungia ndani kwako
Tujitahidi kubadilisha fikra zetu akina Obama wakati wanazunguka dunia mbona hamjawahi kusema anapenda kuzurula ?
Kuwa specific, Hili ni swali kwa SSH kama SSH au taasisi ya uraisi?Huyu mama ni mzurulaji sijapata kuona bila shaka hata ujana wake ulikuwa na mambo mengi sana. Najiuliza sana briefings anazipitia muda gani?
Kweli kabisaa mkuu maana kama asingekuwa mzurulaji ange mteua mtu mwingine kumiwakilisha lakin kwa kuwa mzurulaji kila mwaliko mpka yy ndo aende hawatumi mawaziri wake mambo mengine ni kujidharirisha tu viahughuli vingine uchwara havina hadhi ya kuwepo rais wa nchiHuyu mama ni mzurulaji sijapata kuona bila shaka hata ujana wake ulikuwa na mambo mengi sana. Najiuliza sana briefings anazipitia muda gani?
Mkuu msamee bure.Mwendezake wkt alipoamua kutulia zake chato huko kelele kila kona huyu ameamua kuzunguka nayo kelele pia.Muheshimu Rais wa Nchi hii
Pamoja na kutumia gharama kubwa kuwapika lakini hawaivi na ndio maana mnachukua vijana toka hivyo vyama unavyosema kuwa wanajua matusi tu kisha mnawapa nafasi za uongozi. Mfano mzuri ni paulin gekul, joshua nasari, lijualikali, mkosamali na wengine kibao.CCM inapika Makada wake wawe Viongozi wazuri na kuimarisha Chama Kitaasisi zaidi. Vipi vile Vyama vingine vina hata Madrasa ya Uongozi? Ndo maana Vijana wa vile Vyama vya Upinzani wanachojua ni matusi tu na kutukana sababu hawajalelewa. CCM inalea Viongozi ndo maana unaona ina hazina kubwa sana ya Viongozi. Kesho tena, hapa Kibaha CCM iko kazini. Hongereni sana CCM.