Rais Samia kuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Chuo cha Uongozi Mwalimu Julius Nyerere

Rais Samia kuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Chuo cha Uongozi Mwalimu Julius Nyerere

Magufuli kama binadamu mwingine hakua malaika

Kuna mengi mazuri amefanya, na kila kiongozi anayo au atakua na mema yake

Pongezi Kwa hilo
 
Hotuba imejaa: ^falfasa zetu^ na ^chumi zetu^ dah!

Bi Mikopo hata haelewi anaelewa nini.
 
Wakuu Mama Amesema Hakuna Kupoa Wala Kutulia Chini.
.
Rais Samia Kesho Jumatano atafungua ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Julius Nyerere kilichopo Kibaha mkoani Pwani.
.
Viongozi mbalimbali wa chama tawala na Serikali wameshiriki Ufunguzi huo, wakiwemo viongozi mbalimbali wa vyama vya ANC (Afrika Kusini), Swapo (Namibia), MPLA ( Zimbabwe), Frelimo (Msumbiji) na ZANU-PF.
.
Ufunguzi huo pia unatarajia kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama cha Kikomunisti cha Watu wa China (CPC), Song Tao.
.
Akizungumza leo Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka amesema chuo hicho kitakuwa kikiwaandaa viongozi na kuwapika makada wa chama hicho na vyama vingine vilivyoshiriki harakati za ukombozi kusini mwa bara la Afrika.
.
Shaka amesema, Hiki ni chuo cha CCM chenye lengo la kuwanoa viongozi wa chama kama ilivyokuwa miaka ya nyuma kwa hiyo tunatarajia darasa la mwanzo kabisa kuanza 2022 kitakapokamilika, amesema.
.
Hakuna Kupoa, Hangaya Hataki utani Kabisa
CCM ni chama cha hovyo sn
 
CCM inapika Makada wake wawe Viongozi wazuri na kuimarisha Chama Kitaasisi zaidi. Vipi vile Vyama vingine vina hata Madrasa ya Uongozi? Ndo maana Vijana wa vile Vyama vya Upinzani wanachojua ni matusi tu na kutukana sababu hawajalelewa. CCM inalea Viongozi ndo maana unaona ina hazina kubwa sana ya Viongozi. Kesho tena, hapa Kibaha CCM iko kazini. Hongereni sana CCM.

Hii story iko katika hizi nchi nzetu hizi za kikomunist na ujamaa mbuzi wa kung’ang’aniza, it is a history. Leaders evolve
 
Ni kwa ajili ya taifa
Dunia ya sasa lazima ujichanganye na wenzio hata wewe huwezi ukajifungia ndani kwako

Tujitahidi kubadilisha fikra zetu akina Obama wakati wanazunguka dunia mbona hamjawahi kusema anapenda kuzurula ?

Aisee usimlinganishe Obama na mambo ya ajabu. The President of the US is incomparable
 
acheni bla bla; chuo cha demokrasia wakati demokrasia yenyewe ipo mochwaree - sasa ni hivi, katiba mpya mtatoa hamtoi ?
 
Huyu mama ni mzurulaji sijapata kuona bila shaka hata ujana wake ulikuwa na mambo mengi sana. Najiuliza sana briefings anazipitia muda gani?
Kuwa specific, Hili ni swali kwa SSH kama SSH au taasisi ya uraisi?

Maana umeongelea ujana wake. Kama umeilenga taasisi ya uraisi kuna watu humu wanaofanyia kazi maoni hata kama yameletwa kwa namna isiyo ya staha na heshima kwa taasisi.

Kama umemlenga SSH, hayo ni maswala binafsi, ikimpendeza atakutafuta akujibu na isipompendeza atapuuzia kama anavyopuuza wengine wengi wanaomshambulia.
 
Rais ana mambo mengi ya kufanya kwani lazima hata kuzindua chuo awepo yy kwani hakuna viongozi wengine?? **** waziri mkuu, makamu na mawaziri wengine au ndo mpka awe yy ili muonekane mnampenda kumbe mnajikomba tu na kujipendekeza
 
Huyu mama ni mzurulaji sijapata kuona bila shaka hata ujana wake ulikuwa na mambo mengi sana. Najiuliza sana briefings anazipitia muda gani?
Kweli kabisaa mkuu maana kama asingekuwa mzurulaji ange mteua mtu mwingine kumiwakilisha lakin kwa kuwa mzurulaji kila mwaliko mpka yy ndo aende hawatumi mawaziri wake mambo mengine ni kujidharirisha tu viahughuli vingine uchwara havina hadhi ya kuwepo rais wa nchi
 
CCM inapika Makada wake wawe Viongozi wazuri na kuimarisha Chama Kitaasisi zaidi. Vipi vile Vyama vingine vina hata Madrasa ya Uongozi? Ndo maana Vijana wa vile Vyama vya Upinzani wanachojua ni matusi tu na kutukana sababu hawajalelewa. CCM inalea Viongozi ndo maana unaona ina hazina kubwa sana ya Viongozi. Kesho tena, hapa Kibaha CCM iko kazini. Hongereni sana CCM.
Pamoja na kutumia gharama kubwa kuwapika lakini hawaivi na ndio maana mnachukua vijana toka hivyo vyama unavyosema kuwa wanajua matusi tu kisha mnawapa nafasi za uongozi. Mfano mzuri ni paulin gekul, joshua nasari, lijualikali, mkosamali na wengine kibao.
 
Back
Top Bottom