Rais Samia kuwa mgeni rasmi ufunguzi wa jengo jipya la Kanisa la Mwamposa (Arise & Shine)

Rais Samia kuwa mgeni rasmi ufunguzi wa jengo jipya la Kanisa la Mwamposa (Arise & Shine)

Ama kweli wajinga ndio waliwao. Pesa za maskin zimeleta matunda kwa kumfaidisha tajiri ..Sasa amewajengea na sehem kubwa zaidi ili mje kwa wingi na pesa ziwe nying zaidi.
Ujinga unatokea wapi kwa mtu ambaye halalamiki,kuumia au kuchukia?
 
Mbunge Mwenye Jimbo Lake Atakuwepo Kumkaribisha Mama
 
Wajinga ndio waliwao. Nawapongeza wajinga hao na maskin hao sana kwa kuendelea kumpeleka nabii kwenye ubilionea.
Tukimpata anayeumia,kulalamika na kuchukua nafasi ya wengine kuumia, ndiyo tutajua yeye ni mjingamjinga sana.
 
Back
Top Bottom