Rais Samia kuwa mgeni rasmi ufunguzi wa jengo jipya la Kanisa la Mwamposa (Arise & Shine)

Rais Samia kuwa mgeni rasmi ufunguzi wa jengo jipya la Kanisa la Mwamposa (Arise & Shine)

Mwamposa asisahau kumualika dastan Maboya maana ndiye mwalimu wake tangu akiwa sombetini huko Arusha
 
Sijajua hilo jengo litakuwaje ila wasisahau na mambo ya Sound Proofing kuhakikisha Imani / Starehe au jambo la mmoja haliwi Kero kwa Wengine.
 
Kwaiyo pale pale Tanganyika packages au amejenga kawe ipi
 
Kaka usiwaute watu wajinga, Dunia ni tambarare hata wewe Una kitu ambacho hukijui ,ungepiga pesa tu.

Ulishawahi jiuliza faida ya pombe ni ipi haswa?

Ulishawahi kujiuliza mtu anaacha soda inauzwa miasita mtaani kwake lakini anaingia baa anauziwa shilingi elfu moja?

Ulishawahi kujiuliza,kwanini,mtu anajenga majumba,mengi ya kifahari ,ikiwa umri umeenda na Hana mtoto wa kurithi hizo mali?

Kaka,watu ni fursa,watu ni Mtaji ukitumia ubongo vizuri, Yeriko Nyerere anawauzia watu vitabu hadi laki moja Kwa habari ambazo sidhani zina uhakika 100%.

Kuna saloon kunyoa ni buku mbili tu ,lakini watu wananyoa Hadi elfu thelathini Kwa mtindo uleule
dah!.... kweli mkuu,...wajinga ni mitaji
 
Ama kweli wajinga ndio waliwao. Pesa za maskin zimeleta matunda kwa kumfaidisha tajiri ..Sasa amewajengea na sehem kubwa zaidi ili mje kwa wingi na pesa ziwe nying zaidi.
Ukiwaambia ukweli wanachongoa midomo, wajinga ndio waliwao 😃😅
 
Cherry picking, waumini wa kanisa la Gwajima wananyimwa haki yao ya msingi ya kuabudu.
Tena panatakiwa kuvunjwa kabisa pale lijengwe soko kubwa la kisasa kwa ajili ya kata ya ubungo na vitongoji vyake
 
Kaka usiwaute watu wajinga, Dunia ni tambarare hata wewe Una kitu ambacho hukijui ,ungepiga pesa tu.

Ulishawahi jiuliza faida ya pombe ni ipi haswa?

Ulishawahi kujiuliza mtu anaacha soda inauzwa miasita mtaani kwake lakini anaingia baa anauziwa shilingi elfu moja?

Ulishawahi kujiuliza,kwanini,mtu anajenga majumba,mengi ya kifahari ,ikiwa umri umeenda na Hana mtoto wa kurithi hizo mali?

Kaka,watu ni fursa,watu ni Mtaji ukitumia ubongo vizuri, Yeriko Nyerere anawauzia watu vitabu hadi laki moja Kwa habari ambazo sidhani zina uhakika 100%.

Kuna saloon kunyoa ni buku mbili tu ,lakini watu wananyoa Hadi elfu thelathini Kwa mtindo uleule
We jamaa una madini yanayotoka kwenye kichwa chenye ubongo safi na wenye akili kubwa sana!!!!

Natamani na ningependa ufungue uzi juu ya hayo unayoyazungumzia hapo 👊🏾🤙🏾
 
Nasisitiza ni wajinga. Na Tanzania ni sehem ambayo wajinga ni wengi zaidi. Sijajua kwanini. Hata yule nabii aliesemekana alikua ana ukimwi wa kongo..alikuja hapa akapiga hela akakimbia,
Majinga mengi ni mavijana… inasikitisha sana na kuumiza
 
Back
Top Bottom