Rais Samia kuwa mgeni rasmi ufunguzi wa jengo jipya la Kanisa la Mwamposa (Arise & Shine)

Ama kweli wajinga ndio waliwao. Pesa za maskin zimeleta matunda kwa kumfaidisha tajiri ..Sasa amewajengea na sehem kubwa zaidi ili mje kwa wingi na pesa ziwe nying zaidi.
Dunia wenye nguvu ni wenye pesa au maarifa
 
Ama kweli wajinga ndio waliwao. Pesa za maskin zimeleta matunda kwa kumfaidisha tajiri ..Sasa amewajengea na sehem kubwa zaidi ili mje kwa wingi na pesa ziwe nying zaidi.

..masikini wamemtajirisha Mwamposa.

..masikini wamemtajirisha Samia na genge lake.
 
Nasisitiza ni wajinga. Na Tanzania ni sehem ambayo wajinga ni wengi zaidi. Sijajua kwanini. Hata yule nabii aliesemekana alikua ana ukimwi wa kongo..alikuja hapa akapiga hela akakimbia,
Mifumu yetu ya kiujumaa imelemaza watu na kuwafanya kuwa wajinga, Watu hawataki kusumbua akili zao. Ndiyo maanawajanja wanapeta sana hapa kwetu TZ.
 
Kama Mwamposa atakuwa jasiri, anaweza kwa niaba ya Wakristo wote Tanzania kumwomba Mheshimiwa Rais awaachie Waumini wa Kanisa la Ufufuo waendelee na ibada zao.Kosa la Askofu Gwajima siyo kosa la Waamini wote
Lakini kama atasimama kama chawa basi aendelee.
 
Habari mpya ndio hiyo kila mtu anakaribiahwa siku ya tarehe 5.7.2025 wahi bila Kukosa kwani Kitakuwa na watu wa Mataifa mengi.
View attachment 3388119
Mwamposa ni akili kubwa!, eneo lilipo kanisa hilo ni kiwanja cha NHC, yeye ni mpangaji tuu!, alipaswa kuweka temporary structures ili wenye eneo lao, wakilihitaji, afungashe virago apishe!.

Sasa amejenga permenent structures kinyume na makubaliano ya upangishaji, kisha unamwalika rais wa JMT kuwa mgeni rasmi!, kwenye risala yake ataliomba hilo eneo permanent huku waumini wakitoa kibwagizo cha mitano tena, kura zote ni kwa Mama!, ukiifikiria impact ya kura za Mwamposa na milki ya kiwanja kwa NHC, utamkataliaje?.
Mimi nimekaa pale mtaniambia, ila kiukweli Buldoza Mwamposa, ana nguvu! BullDoza Mwamposa Ana Powers za Mvuto wa Ajabu, Aleta Balaa Kubwa Kawe na Maeneo ya Jirani, Mkesha Wake, Kawe, Mikocheni, Mbezi Beach, Wote Tumekesha!
Akisema October kura zote kwa Mama, hakuna mtu atapata kura nyingi kama Mama!.
P
 
Mbona kanisa ni kubwa sana , inabidi alioe Kodi, la sivyo atakuwa anaharibu mzunguko wa fedha.
 
Mwamposa ni akili kubwa!, eneo lilipo kanisa hilo ni kiwanja cha NHC, yeye ni mpangaji tuu!, alipaswa kuweka temporary structures ili wenye eneo lao, wakilihitaji, afungashe virago apishe!.

Sasa amejenga permenent structures kinyume na makubaliano ya upangishaji, kisha unamwalika rais wa JMT kuwa mgeni rasmi!, kwenye risala yake ataliomba hilo eneo permanent huku waumini wakitoa kibwagizo cha mitano tena, kura zote ni kwa Mama!, ukiifikiria impact ya kura za Mwamposa na milki ya kiwanja kwa NHC, utamkataliaje?.
Mimi nimekaa pale mtaniambia, ila kiukweli Buldoza Mwamposa, ana nguvu! BullDoza Mwamposa Ana Powers za Mvuto wa Ajabu, Aleta Balaa Kubwa Kawe na Maeneo ya Jirani, Mkesha Wake, Kawe, Mikocheni, Mbezi Beach, Wote Tumekesha!
Akisema October kura zote kwa Mama, hakuna mtu atapata kura nyingi kama Mama!.
P
Muzee mwenzangu imenikumbusha ya Mbowe Hotel baadaye Billcana hakuna tofauti na hili
Muda Mwalimu
 
Back
Top Bottom