Rais Samia kuwa mgeni rasmi ufunguzi wa jengo jipya la Kanisa la Mwamposa (Arise & Shine)

Mwamposa asisahau kumualika dastan Maboya maana ndiye mwalimu wake tangu akiwa sombetini huko Arusha
 
Sijajua hilo jengo litakuwaje ila wasisahau na mambo ya Sound Proofing kuhakikisha Imani / Starehe au jambo la mmoja haliwi Kero kwa Wengine.
 
Kwaiyo pale pale Tanganyika packages au amejenga kawe ipi
 
dah!.... kweli mkuu,...wajinga ni mitaji
 
Ama kweli wajinga ndio waliwao. Pesa za maskin zimeleta matunda kwa kumfaidisha tajiri ..Sasa amewajengea na sehem kubwa zaidi ili mje kwa wingi na pesa ziwe nying zaidi.
Ukiwaambia ukweli wanachongoa midomo, wajinga ndio waliwao πŸ˜ƒπŸ˜…
 
Cherry picking, waumini wa kanisa la Gwajima wananyimwa haki yao ya msingi ya kuabudu.
Tena panatakiwa kuvunjwa kabisa pale lijengwe soko kubwa la kisasa kwa ajili ya kata ya ubungo na vitongoji vyake
 
We jamaa una madini yanayotoka kwenye kichwa chenye ubongo safi na wenye akili kubwa sana!!!!

Natamani na ningependa ufungue uzi juu ya hayo unayoyazungumzia hapo πŸ‘ŠπŸΎπŸ€™πŸΎ
 
Nasisitiza ni wajinga. Na Tanzania ni sehem ambayo wajinga ni wengi zaidi. Sijajua kwanini. Hata yule nabii aliesemekana alikua ana ukimwi wa kongo..alikuja hapa akapiga hela akakimbia,
Majinga mengi ni mavijana… inasikitisha sana na kuumiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…