Rais Samia kuwa mgeni rasmi ufunguzi wa jengo jipya la Kanisa la Mwamposa (Arise & Shine)

Sadaka za watu zinajenga Kasri...huku mtoa sadaka anarudi nyumbani akitembea kwa mguu ila anayewasomea neno la toa ndugu toa anatembelea V8.
 
Hii sio kuchanganya dini na siasa? Au kwa kuwa inatoka kwa mama kwenda kwa kenge? Kwa wengine ni siasa na dini?
 
Ama kweli wajinga ndio waliwao. Pesa za maskin zimeleta matunda kwa kumfaidisha tajiri ..Sasa amewajengea na sehem kubwa zaidi ili mje kwa wingi na pesa ziwe nying zaidi.
Si ajabu wewe unaweza ukawa mjinga kuzidi wao, halafu kumbe wewe unafanya mambo ya hivyo zaidi, kuna mtu anawaponda wanaotoa sadaka buku, halafu anaenda Kwa sangoma anatoa laki, kuku, mbuzi, ng'ombe lakini hajioni mjinga
 
Endeleeni kupigwa kumamakeh. Siwezi kua msengeh kama nyinyi. ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Endeleeni kupigwa kumamakeh. Siwezi kua msengeh kama nyinyi. ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
Halafu unatukana hapo hapo ulipotokea, hivi unatoa tusi na mama Kaaa hapo unajisikiaje moyoni mwako? Kwahiyo mtu akitoa hoja naye ni mfuasi was mwamposa mawazo finyu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ