Rais Samia kuzindua mradi wa Maji wa Mbalizi na kuzungumza na Wananchi

Rais Samia kuzindua mradi wa Maji wa Mbalizi na kuzungumza na Wananchi

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
KAZI INAENDELEA, RAIS SAMIA KUZINDUA MRADI WA MAJI WA MBALIZI NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI ASUBUHI HII SAA 5.

Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa Agosti 05, 2022 anatarajia Kuzindua Mradi wa Maji wa Mbalizi (Songo- Igale). Mhe. Rais Samia pia atazungumza na Wananchi wa Mbalizi kwenye Mkutano wa hadhara. Ni kuanzia Saa 5 asubuhi hii.

Utafuatilia Matangazo haya moja kwa moja Mbashara kupitia Televisheni, Redio na Mitandao ya Kijamii.

#TunaImaninaRaisSamia
#MitanoTena

FB_IMG_1659675346043.jpg
 
Mm niko Chimala nakwenda Mbalizi kuisikiliza hotuba
 
Back
Top Bottom