Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
“Kuna mashirika ambayo wenyewe wangehitaji ajira za harakaharaka lakini unaambiwa subiri Tume ya Utumishi ikae, subiri sijui utumishi ifanyeje mwaka mzima taasisi kwa mfano TRA inataka watu wakakusanye mapato mwaka mzima watu hawajapatikana, vivyo hivyo TANESCO, REA wanataka watu utumishi paka izunguke iseme ifanye mikutano ifanye semina, hapana hatuendi hivyo.
Kama wanataka wafanyakazi mishahara ya kulipa wanayo haitoki hazina wanataka wafanyakazi kwa ajili ya mradi au kazi fulani wapewe ruhusa wafanye. Wapewe ruhusa wafanye sabahu ajira hizi wala nyingine sio za kudumu mradi ukimalizika na ajira imekwenda. Kwa hiyo wapewe ruhusa waajiri ili miradi ikatekelezwe kwa haraka.” Rais Samia Suluhu Hassan
Napenda kujikita hapa kwa TRA: Nafasi za kazi za TRA zilitangazwa mwezi wa nne 2022, watu wamekuja kuitwa kwenye usaili mwezi wa 12 2022. Wakati huohuo watu wameitwa kazini mwezi wa pili 2023. Muda mwingi umepotea hapo.
Msisahau kurejea huu uzi:
www.jamiiforums.com

Mfumo wa kuajiri kupitia Ajira Portal na kuita watu kwenye usaili physically mikoa ya mbali unamaliza pesa za serikali na wananchi
Naomba serikali iliangalie hili. Katika utafiti niliofanya nimegundua jambo hili: Mfumo wa kuajiri kupitia ajira portal na kuita watu kwenye usaili wa mchujo physically mikoa ya mbali unamaliza pesa za serikali na wananchi. Fedha zinazotumika kusafirisha maafisa utumishi kutoka ofisini kwao...