USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Mh rais Samia huku mtaani Kuna tuhuma kubwa Sana za ofisi ya IG kucheza dili na mawakili wa serkali kushindwa ki-deal kesi za madai wakandarasi walifutiwa tenda .
Kwa Sasa Kila aliyefutiwa tenda akiwa site anadaiwa kuitwa na mawakili wa serkali kijanja kukaa mezani na kukubariana namna ya kufungua kesi ili washinde na kugawana pesa na mawakili wa serkali ndani na nje ya nchi.
Inadaiwa kuwa wale walioshinda kule London walikula deal na mawakili na bado zipo kesi za michongo ambazo ofisi ya mwanasheria mkuu na mawakili wa serkali wamekula deal.
Wapo walifukuzwa kwenye maji, umeme hasa wa REA , Barabara, majengo na hata madini hapa nchini wanaaundwa kuwaibia watanzania kupitia mahakamani na kuna tetesi kuwa hata mahakimu na majaji wamo
Rais Samia chukua hatua watanzania watachezewa hadi lini hasa wakati huu ambapo ishu ya bandari bado inavuma