Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaelewa maana ya makubaliano? Wakati wote wa mkopo wako lazima utii na utekekeleze matakwa ya hayo makubaliano.Bank huwatawala wawakopeshao?.. world bank si bank ya masela sita kama siyo saba wanaofanya biashara ya kukopesha nchi kama pharmaceutical companies zinavyofanya biashara na nchi,au mikopo siyo biashara?
We jamaa bana,unazungukazunguka tu,sasa nchi gani imekopeshwa bila kuwa na uwezo wa kulipa?..ushasikia nchi haikopesheki, maana yake nini!?..utakopeshwa ukiwa na uwezo wa kulipaUnaelewa maana ya makubaliano? Wakati wote wa mkopo wako lazima utii na utekekeleze matakwa ya hayo makubaliano.
Wote mtakua na Millioni 50M lakini wewe uliyekopa na mwenzako aliyeitafuta Kwa njia nyingine mnautofauti Mkubwa sana.
Lazima uwaze marejesho Kwa wakati kitu ambacho tayari kinakulazimu kuendesha mfumo wako Kwa kuzingatia hayo matakwa.
Haijui kwamba WB na IMF Wana masharti Yao pia Kwa nchi wanazozikopesha?We jamaa bana,unazungukazunguka tu,sasa nchi gani imekopeshwa bila kuwa na uwezo wa kulipa?..ushasikia nchi haikopesheki, maana yake nini!?..utakopeshwa ukiwa na uwezo wa kulipa
Huyu mama, ni kila za Sana, anafikiri wazungu wanajari saana,maisha ya wabongo, au wa Afrika, wao wanajari maslahi Yao tu, cheki kinachoendelea Libya, Sudan, Somalia, wao hawataki nchi iingie kwenye machafuko na kuhathili maslahi Yao, USA, UK, wanaijua nchi hii ndani, nje, wakitaka kumuondoa samia, ni sekunde tu, walinzi, wake, makamanda wake, wenge wamefundishwa na FBI, aache upuuzi, hapa sio kizimkazi,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan hivi karibuni amejibu kuhusu matamko yaliyotolewa na balozi mbalimbali hapa nchini Tanzania kufuatia kifo cha Kada wa CHADEMA, Ali Kibao.
Mara baada ya Ali Kibao kupatikana akiwa amefariki huko Ununio, Dar Es Salaam balozi za nchi mbalimbali kama Marekani, Ufaransa na Umoja Wa Ulaya yaani EU walijitokeza kukemea kitendo hicho na kuitaka serikali ya Tanzania kufanya uchunguzi wa haraka.
Soma Pia: Rais Samia: Mauaji ya Kibao hayakubaliki. Uchunguzi umeanzishwa
Leo akiwa anatoa hotuba kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi La Polisi, mkuu huyo wa nchi amedokeza kuwa hayuko tayari kuelekezwa nini cha kufanya na kwamba Tanzania ina katiba na miongozo yake na kwamba sisi tunajua nini cha kufanya.
View attachment 3098778
Source: Mwananchi
Kumbe China hawajakemea mauaji kama wenzao?Ukiona hivo ujue China imemuahidi mzigo. Sio kwa kichambo kile Kwa Mabalozi za jumuiya ya Ulaya na Marekani.
Mtoto pendwa wa Mama.Anajifanya jeuri siyo kwa wanaompa misaada au
hadhi ya kidipomasia ni sawa kwa mataifa yote kwa mujibu wa Sheria za kimataifa, ustaarabu utamaduni na desturi ya kidipomasia...Yes zina hadhi sawa, na zina Nguvu Tofauti. Kinachomatter ni Nguvu ! Hadhi hata Binadamu wote ni sawa mbele ya Mungu na mbele ya dunia. But Binadamu wote hawana nguvu zinazolingana , na hata hadhi hatulingani Bro. Balozi wa US hata pale UN ana nguvu kuliko hata Guteres Katibu Mkuu wa UN. Uncle Tom si mwenzako.
Mimi akili zangu zinafanya kazi sijageuka ila Huwa sivumilii ujinga.Mtoto pendwa wa Mama.
Hapo vipi?
Ushageuka mara hii?
Mapema yote hii unamkana mama yako!Mimi akili zangu zinafanya kazi sijageuka ila Huwa sivumilii ujinga.
Mama yangu siyo mwanasiasa mkuu.Mapema yote hii unamkana mama yako!
sibabaiki na mtu kuweweseshwa na madini ya kibobevu ninayotema humu jukwaani...Unahitaji kwenda kupata Course pale Chuo cha Diplomasia Kurasini, Baada ya hapo ndipo uje JF uanze kuchangia mada kama hizi. Otherwise unapoteza muda wa watu kusoma comments zako pupu
😂😂😂😂Mama yangu siyo mwanasiasa mkuu.
Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara huyu jamaa ana shida gani, maana machapisho tu yanaonesha kuna fuse haiko sawa upstairs. Hatimaye leo nimefahamu...Vidonge unavyobugia navyo virudi kwao....
Riziki yako unaipata kwa njia ngumu sana...Bravo mama bravo, leo umeonesha kweli wewe ndie rais wa Tanzania
Katika uliyoongea yote tangu uwe rais ni hili sasa, safi sana, tena sana
Wakchezee ndevu za babu zao, sio Tanzania
Well done mheshimiwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
Huna akili za kusoma na kufaulu mwenyewe.sibabaiki na mtu kuweweseshwa na madini ya kibobevu ninayotema humu jukwaani...
Center for Foreign Relations (CFR) hapo chuo cha deplomasia ambacho hapo kabla kilikua ndicho chuo kikuu cha mashujaa wa Africa,
nimesoma hapo wakati madam Prof.Shahari akiwa Makamu Mkuu wa chuo hapo, huku Bernard Camilius Membe akiwa waziri mambo ya nje...
na baadae akaja Dr.Kiula na huyu Dr muongeaji sana Kitojo
Na foreign language niliopt lughati Arabia as foreign language, na Al ustadhi Zaragiza ndio alikua mwalimu wangu wa Arabic Language na nilikua nachapa na kubonga lugha ya kiarabu ilonyooka sana mpaka na mpaka sasa..
so,
mambo haya hatuongei kwa kuringa au kutisha watu, bali tunaeleza ukweli bila mihemko wala mbambamba yoyote 🐒