Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Huyu mama ni mateka…..kafanya kosa kubwa sana kumrudisha Makonda na genge lake ….ona sasa mkuu wa nchi nzima anatoa hotuba kwa kunukuuu propaganda za kitoto za kijana wa Chalinze ambazo zimetengenezwa na kuachiliwa karibuni …na mkutano wa Ngurero [ ni wapi?] , contents za mkutano wa leo zina viashiria vyote vya propaganda za watu wasio kuwa na akili ya kiitelegensia kama kina Musiba na wajinga ….wengine waliofanya magufuli akachafuka ….leo kaenda kurudia makosa yale yale …
Inaonekana Katibu Mkuu hana uwezo wa kumshauri mama akamuelewa ….muelekeo wa press yake ulikuwa ni wa kidiplomasia sana na ulikuwa unaelekea kutuliza nchi …..lakini kwa hotuba hii inaonyesha mama ana taarifa na mambo yote mabaya ambayo yamekua yakifanyika …..na inaonekana anawasikiliza sana hao …
Hii ni siku mbaya sana kama taifa na ni hotuba mbaya kuliko zote kupata kutolewa na Rais . Tunaomba wazee wenye akili ndani ya ccm na serekali wasimuache Rais akaharibikiwa …