Pre GE2025 Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu

Pre GE2025 Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan hivi karibuni amejibu kuhusu matamko yaliyotolewa na balozi mbalimbali hapa nchini Tanzania kufuatia kifo cha Kada wa CHADEMA, Ali Kibao.

Mara baada ya Ali Kibao kupatikana akiwa amefariki huko Ununio, Dar Es Salaam balozi za nchi mbalimbali kama Marekani, Ufaransa na Umoja Wa Ulaya yaani EU walijitokeza kukemea kitendo hicho na kuitaka serikali ya Tanzania kufanya uchunguzi wa haraka.

Soma Pia: Rais Samia: Mauaji ya Kibao hayakubaliki. Uchunguzi umeanzishwa

Leo akiwa anatoa hotuba kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi La Polisi, mkuu huyo wa nchi amedokeza kuwa hayuko tayari kuelekezwa nini cha kufanya na kwamba Tanzania ina katiba na miongozo yake na kwamba sisi tunajua nini cha kufanya.

View attachment 3098778

Source: Mwananchi
baba Dubai kamwambia ajibuu sasa asiwe kinyongee 😂
 
Nashangaa Rais anatuma nguvu kubwa kutuaminisha vifo na utekaji huu unaoendekea ni kitu cha kawaida😡
Kuna hisia zina nijia huenda "kalazimishwa" kuongea hizo porojo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan hivi karibuni amejibu kuhusu matamko yaliyotolewa na balozi mbalimbali hapa nchini Tanzania kufuatia kifo cha Kada wa CHADEMA, Ali Kibao.

Mara baada ya Ali Kibao kupatikana akiwa amefariki huko Ununio, Dar Es Salaam balozi za nchi mbalimbali kama Marekani, Ufaransa na Umoja Wa Ulaya yaani EU walijitokeza kukemea kitendo hicho na kuitaka serikali ya Tanzania kufanya uchunguzi wa haraka.

Soma Pia: Rais Samia: Mauaji ya Kibao hayakubaliki. Uchunguzi umeanzishwa

Leo akiwa anatoa hotuba kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi La Polisi, mkuu huyo wa nchi amedokeza kuwa hayuko tayari kuelekezwa nini cha kufanya na kwamba Tanzania ina katiba na miongozo yake na kwamba sisi tunajua nini cha kufanya.

View attachment 3098778

Source: Mwananchi
 
Mna huwo uwezo,au mnajipaka mavi tu.
nadhani waulizwe wale waandaji wa maandamano haramu ya Chadema, je, nani sijui huko must go wana uwezo nayo au wanajipaka hicho unacho kiporomosha kwa mdomo wako...

Infact,
balozi asie mstaarabu na anaekiuka miiko na sheria ya kidiplomasia anafurushwa tu na kama nchi tulisha wafurusha wengi tu huko nyuma kutokana na sababu mbalimbali...

wengine sababu za kiutendaji, wengine sababu za kisiasa na wengine tuliwakataa kutokana na majina yao kutamkwa kama matusi humu nchini 🐒
 
Magufuli aliesema ili kuwakwepa mabeberu lazima tukaze mikanda na kujitegemea, ila yeye alipo ingia ikulu akafuta yote na kuanza kutembeza bakuli hadi akamfukuza Ndugai aliposema tunakopa sana.

Leo eti ana wapiga biti? Chura kiziwi bhana 😂😂
 
Back
Top Bottom