Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Tanzania bhana kila kukicha matamko ya ajabu ajabu na mambo ya hovyo yanatokea..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni message kwa “wanyonge” wa Tz. Sio kwa wafadhili. Ndio hivyo miaka yote.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan hivi karibuni amejibu kuhusu matamko yaliyotolewa na balozi mbalimbali hapa nchini Tanzania kufuatia kifo cha Kada wa CHADEMA, Ali Kibao.
Mara baada ya Ali Kibao kupatikana akiwa amefariki huko Ununio, Dar Es Salaam balozi za nchi mbalimbali kama Marekani, Ufaransa na Umoja Wa Ulaya yaani EU walijitokeza kukemea kitendo hicho na kuitaka serikali ya Tanzania kufanya uchunguzi wa haraka.
Soma Pia: Rais Samia: Mauaji ya Kibao hayakubaliki. Uchunguzi umeanzishwa
Leo akiwa anatoa hotuba kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi La Polisi, mkuu huyo wa nchi amedokeza kuwa hayuko tayari kuelekezwa nini cha kufanya na kwamba Tanzania ina katiba na miongozo yake na kwamba sisi tunajua nini cha kufanya.
View attachment 3098778
Source: Mwananchi
Unadhani wanaompa mkopo hawaoni fursa? Wanapenda tena sana aendelee kukopa ili tuwe non-sovereignty stateHalafu Kesho kiguu na njia kwenda kuomba MKOPO wa kununuua ma V8
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan hivi karibuni amejibu kuhusu matamko yaliyotolewa na balozi mbalimbali hapa nchini Tanzania kufuatia kifo cha Kada wa CHADEMA, Ali Kibao.
Mara baada ya Ali Kibao kupatikana akiwa amefariki huko Ununio, Dar Es Salaam balozi za nchi mbalimbali kama Marekani, Ufaransa na Umoja Wa Ulaya yaani EU walijitokeza kukemea kitendo hicho na kuitaka serikali ya Tanzania kufanya uchunguzi wa haraka.
Soma Pia: Rais Samia: Mauaji ya Kibao hayakubaliki. Uchunguzi umeanzishwa
Leo akiwa anatoa hotuba kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi La Polisi, mkuu huyo wa nchi amedokeza kuwa hayuko tayari kuelekezwa nini cha kufanya na kwamba Tanzania ina katiba na miongozo yake na kwamba sisi tunajua nini cha kufanya.
View attachment 3098778
Source: Mwananchi
Aseme suu km walimu wajaanza kukopwa kulipwa mishahara ya mwisho wa mwezi.Hana ubavu wa kuwakwepa wajomba
"SISI TUNAJUA CHA KUFANYA" MBONA HATUFANYI SASA HADI KELELE ZOTE HIZIAliyesema hivo ni kichaa.kwa hiyo anaunga mkono utekaji na uuaji wa watu?Kwa hiyo mabalozi wasiseme maovu wanayoyasema?
Yes hicho ndicho,
Lazima waheshimu mila, utamaduni , desturi, katiba na sheria za nchi yetu huru,
vinginevyo wasipobadilika mabalozi hao wote watarudishwa makwao bila mbambambba yoyote
Yawezekana unasema yanayokufurahisha, lakini yaliyo mbali na ukweli.hakuna ujeuri wala ubabe kwenye masuala ya kimataifa na diplomasia gentleman,
ni ustaarabu unaozingatia mila, desturi na sheria za kimataifa na kila taifa lililotuma muwakilishi wake kwenye nchi yeyote lazima azingatie, vinginevyo atafurushwa nyumbani mara moja...
hayo mengine hayahusiani 🐒
Halafu Kesho kiguu na njia kwenda kuomba MKOPO wa kununuua ma V8
Mchina atatuingiza chaka.Mchina sio wa kumtegemea
Tunawahitaji Wao zaidi. Ulisha ona PM wa UK au Chancellor wa Germany au Rais wa France au PM wa Italy au Ureno au Spain au Belgium au Netherlands au Sweden wakija kuzurura hapa kwetu. Bongo ? Viongozi wetu je? amost every month tukiwa na Bakuli. Maovu wana haki ya kuyakemea, na ni kwa msalahi ya wananchi. Kumbuka . Uhai ni Universal Human Right, na sisi ni Signatory wa hii 1948 Convention. Wana haki ya kudai kulindwa kwa Uhai wa mwanadamu regardless ni wa wapi.Kwan wao na sisi nani anamuhitaji mwenzie ??
Acha nyege wewe,una tatizo la akili!?.. unataka ku-prove nini!?..nilikuumiza wapi kiasi unanifuata kila pahala na msamiati wako wa 'kilaza'!?..kuna sehemu ya mwili inakuwasha unataka nikukune!?Ukilaza umeufikisha hadi huku?
Sasa hapa ni kipi cha maana ulich changia?
Kumtisha US kwamba akuache ufanye ya kwako mwenyewe ni kujipalia makaa.The United States of America
Hao anaosema kuwa wanaua watu kwenye nchi nyingine si wote wanapatikana na wanahukumiwa. Yule aliyemshoot trump si aliuwawa palepale na hao wengine wote wamepatikana na kufikishwa kama ni mahakamani au polisi. Je, hapa Tanzania nani aliyekamatwa kutokana na hayo matukio yanayoendelea?, kila siku uchunguzi unaendelea, lini uchunguzi ulikamilika ikaonekana hawa ni watuhumiwa.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan hivi karibuni amejibu kuhusu matamko yaliyotolewa na balozi mbalimbali hapa nchini Tanzania kufuatia kifo cha Kada wa CHADEMA, Ali Kibao.
Mara baada ya Ali Kibao kupatikana akiwa amefariki huko Ununio, Dar Es Salaam balozi za nchi mbalimbali kama Marekani, Ufaransa na Umoja Wa Ulaya yaani EU walijitokeza kukemea kitendo hicho na kuitaka serikali ya Tanzania kufanya uchunguzi wa haraka.
Soma Pia: Rais Samia: Mauaji ya Kibao hayakubaliki. Uchunguzi umeanzishwa
Leo akiwa anatoa hotuba kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi La Polisi, mkuu huyo wa nchi amedokeza kuwa hayuko tayari kuelekezwa nini cha kufanya na kwamba Tanzania ina katiba na miongozo yake na kwamba sisi tunajua nini cha kufanya.
View attachment 3098778
Source: Mwananchi
Usichanganye Mada. Wao wamekemea uvunjwaji wa Haki ya msingi ya mwanadamu, Haki ya Kuishi , ambayo ni Mungu pekee mwenye mamlaka ya kuitwaa. Tuwe fair katika kulaumu na kupongeza.angalizo lielekeze kwa mabalozi wasio zingatia mila,desturi na utamaduni wa host country,
vinginevyo hawatavumiliwa hata kidogo wasipozingatia sheria za kimataifa na ustaarabu wa kidiplomasia. watarejeshwa makwao mara moja 🐒