Pre GE2025 Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bank huwatawala wawakopeshao?.. world bank si bank ya masela sita kama siyo saba wanaofanya biashara ya kukopesha nchi kama pharmaceutical companies zinavyofanya biashara na nchi,au mikopo siyo biashara?
Unaelewa maana ya makubaliano? Wakati wote wa mkopo wako lazima utii na utekekeleze matakwa ya hayo makubaliano.

Wote mtakua na Millioni 50M lakini wewe uliyekopa na mwenzako aliyeitafuta Kwa njia nyingine mnautofauti Mkubwa sana.

Lazima uwaze marejesho Kwa wakati kitu ambacho tayari kinakulazimu kuendesha mfumo wako Kwa kuzingatia hayo matakwa.
 
We jamaa bana,unazungukazunguka tu,sasa nchi gani imekopeshwa bila kuwa na uwezo wa kulipa?..ushasikia nchi haikopesheki, maana yake nini!?..utakopeshwa ukiwa na uwezo wa kulipa
 
We jamaa bana,unazungukazunguka tu,sasa nchi gani imekopeshwa bila kuwa na uwezo wa kulipa?..ushasikia nchi haikopesheki, maana yake nini!?..utakopeshwa ukiwa na uwezo wa kulipa
Haijui kwamba WB na IMF Wana masharti Yao pia Kwa nchi wanazozikopesha?

Hakuna mahali nimeongelea uwezo wa kulipa deni, nimesisitiza kufuata na kutekeleza masharti ya mkopo. Kurukaruka kwangu kunatoka wapi Mkuu?

Haujasikia wachina wakisumbuana na baadhi ya nchi kuhusu miundo mbinu kutokana na mikopo ya nchi zao.
 
INFACTS HAYUPO WA KUTUFUNDISHA JINSI YA KUILINDA AMANI YETU WAMEKUJA TOKA KWAO WAMETUKUTA TUKIWA KIMYA, FURAHA TELE NA AMANI ILIYOSHIBA, NI MWIKO KUTUFUNDISHA JINSI YA KUILINDA AMANI YETU
 
Huyu mama, ni kila za Sana, anafikiri wazungu wanajari saana,maisha ya wabongo, au wa Afrika, wao wanajari maslahi Yao tu, cheki kinachoendelea Libya, Sudan, Somalia, wao hawataki nchi iingie kwenye machafuko na kuhathili maslahi Yao, USA, UK, wanaijua nchi hii ndani, nje, wakitaka kumuondoa samia, ni sekunde tu, walinzi, wake, makamanda wake, wenge wamefundishwa na FBI, aache upuuzi, hapa sio kizimkazi,
 
hadhi ya kidipomasia ni sawa kwa mataifa yote kwa mujibu wa Sheria za kimataifa, ustaarabu utamaduni na desturi ya kidipomasia...

hayo mengine ya nguvu, ukabila, katiba, ushirikina na miujiza inaweza isilingane kwasababu ni mambo ya ndani ya nchi husika...

hayo mengine ya uwakilishi kwenye jumuiya ni tofauti kidogo kuyaelezea lakini kidiplomasia mabalozi wanaowakilisha nchi zao kwenye mataifa iwe ni ambassador au high commissioner wote wanaishi kwenye usawa wa sheria za ustaarabu za kimataifa πŸ’
 
Mlio karibu na mama yenu mshaurini jamani.
Ndio nini hiki sasaπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈ
 
Unahitaji kwenda kupata Course pale Chuo cha Diplomasia Kurasini, Baada ya hapo ndipo uje JF uanze kuchangia mada kama hizi. Otherwise unapoteza muda wa watu kusoma comments zako pupu
sibabaiki na mtu kuweweseshwa na madini ya kibobevu ninayotema humu jukwaani...

Center for Foreign Relations (CFR) hapo chuo cha deplomasia ambacho hapo kabla kilikua ndicho chuo kikuu cha mashujaa wa Africa,

nimesoma hapo wakati madam Prof.Shahari akiwa Makamu Mkuu wa chuo hapo, huku Bernard Camilius Membe akiwa waziri mambo ya nje...
na baadae akaja Dr.Kiula na huyu Dr muongeaji sana Kitojo

Na foreign language niliopt lughati Arabia as foreign language, na Al ustadhi Zaragiza ndio alikua mwalimu wangu wa Arabic Language na nilikua nachapa na kubonga lugha ya kiarabu ilonyooka sana mpaka na mpaka sasa..

so,
mambo haya hatuongei kwa kuringa au kutisha watu, bali tunaeleza ukweli bila mihemko wala mbambamba yoyote πŸ’
 
Bravo mama bravo, leo umeonesha kweli wewe ndie rais wa Tanzania

Katika uliyoongea yote tangu uwe rais ni hili sasa, safi sana, tena sana

Wakchezee ndevu za babu zao, sio Tanzania
Well done mheshimiwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
Riziki yako unaipata kwa njia ngumu sana...
 
Huna akili za kusoma na kufaulu mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…