Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Mimi mtu akifanya vibaya si mkopeshiππππ
Akiyanani
Mama kaacha kuupiga mwingi?
Nyie si ndio mlikuwa mnasema Mama Genius ,mnaona leo alivyoyatimba
Unaposema dunia na nchi yako unaiweka, ama unamaanisha Uchina, Urusi, Korea na nyingine za mrengo huo?Licha ya madhaifu yake ila hapa kaongea ukweli..Marekani,Uingereza na france sasa hv hawana cha kuilekeza Dunia
Utekaji ni utamaduni wa nchi yako?angalizo lielekeze kwa mabalozi wasio zingatia mila,desturi na utamaduni wa host country,
Yeye mwenyewe Samia ni mhusika wa watu wanaotekwa. Ajikamate ?Chukua hatua mama. Achana na malalamiko. Kamata wahusika wote.
ni utamaduni wa kila uchaguzi wa ndani wa chadema unapofanyika gentleman πUtekaji ni utamaduni wa nchi yako?
msuli paper sio π€£Huna akili za kusoma na kufaulu mwenyewe.
>TUWE MAKINI SANA! TUSICHEKE NA KIMA!,
Nimeshuhudia cruzeiro mpyaaa nchi nzimaHalafu Kesho kiguu na njia kwenda kuomba MKOPO wa kununuua ma V8
zNjaa inakusumbua.msuli paper sio π€£
ndio maana umeambatana na mihemko kumbe mwerevu? ,dah π
Nchi inabariki hayo?ni utamaduni wa kila uchaguzi wa ndani wa chadema unapofanyika gentleman π
Yule bibi ni Delila wa kwenye kitabu takatifu.Kwa hotuba nilivyoisikiliza, kina Mafwele wana baraka za mama.
Hakuna ubishi kwenye hilo.
Kumtisha US kwamba akuache ufanye ya kwako mwenyewe ni kujipalia makaa.
nadhani chadema inakufa, watu wataogopa kugombea uongozi tena wanaogopa kudhulumiwa maisha πNchi inabariki hayo?