Pre GE2025 Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu

Pre GE2025 Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Licha ya madhaifu yake ila hapa kaongea ukweli..Marekani,Uingereza na france sasa hv hawana cha kuilekeza Dunia
Unaposema dunia na nchi yako unaiweka, ama unamaanisha Uchina, Urusi, Korea na nyingine za mrengo huo?
 
Hii ni kauli thabiti kwa waovu wote wanaotaka tuache kufanya maendeleo na kuendekeza siasa za maji taka
 
Mikwara ya viongozi wakiafrika ni shida sana.Mkwara unakua na maana endapo unajitegemea tofauti na hapo huo mkwara unaishia humu humu.
 
Alisema amekuja kurekebisha taswira ya Tanzania kwenye jukwaa la kimataifa baada ya kipindi cha giza cha awamu ya tano

Yamemshinda.
 
Ukilijua hilo ujue na kuishi Kwa kujitegemea.

Siyo kuomba misaada kwao.

Misaada ndo chanzo Cha kuelekezwa Cha kufanya.

Ni muda MUAFAKA kuikacha misaada Yao .
 
CHADEMA NI WAPUUZI SANA TENA WASIO NA AKILI KABISA, "" HIVI NCHI HII ITAKAPOVURUGIKA HUO UPINZANI WAO WATAUFANYIA KATIKA NCHI GANI"""
N. B, Tunao maadui wengi sana wanaosubiria kwa kiu kubwa sana sisi wenyewe tuivuruge nchi waanze kumwaga fedha kwa watu na vikundi mbalimbali alimradi nchi ikibidi isiikalike kabisa

>TUWE MAKINI SANA! TUSICHEKE NA KIMA!,
 
Kwa hotuba nilivyoisikiliza, kina Mafwele wana baraka za mama.
Hakuna ubishi kwenye hilo.
Yule bibi ni Delila wa kwenye kitabu takatifu.
JPM aliko ni yule bibi alichangia kumpeleka huko.
Msimuamini hata siku Moja.
Akikuambia nje Kuna Giza ,toka kuangalia,inawezekana ni mchana.
 
Kumtisha US kwamba akuache ufanye ya kwako mwenyewe ni kujipalia makaa.

Ni ajabu kumwona Rais anatumia nguvu zote kuwalinda wauaji. Huyu mama amebeba laana kichwani mwake.

Ina maana aliwataka Marekani na mataifa ya Ulaya yamsifu kwa serikali yake kuwateka na kuwaua wakosoaji wake? Atambue kuwa shetani hana ushindi wa kudumu. Atajiona mshindi kupoteza roho za watu wasio na hatia, kumbe shetani anampofusha macho na hekima, ili siku apokea matunda kamili ya uovu wa Serikali yake, yeye kama kiongozi mkuu.
 
Sometime kunyamaza na kuacha kujibu kila jambo ...ni heri zaidi kuliko kujifanya mjuaji wakati hao unao wafanyia ujuaji unawategemea ....๐Ÿ˜Ž
 
Back
Top Bottom