Pre GE2025 Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tanzania inaichimba mkwala USA au sjaelewa?

Asije akawa ameingia kwenye mtego huyu Nani kampa kiburi hiki na kamwahidi nini Kama sio msaada wa kivita?

Je anataka kuitumbukiza inchi vitani?

Au labda hakufikiria vizuri katika hili?

Hakuna wakati raisi wetu Ana hitaji kuombewa Kama sasa
 
Gentleman,
kuna mambo huhitaji ushirikina wala mihemko, huna haja kufanya maziezi ya kuporomosha matusi..

jikite kwenye hoja ya maana sana mezani. na kama huna mawazo mapya na fikra mbadala kaa kimya alaaa...

hasira za kinyumbu ziache huko huko nyikani alaaa🤣
Sasa umeandika nini hiki??, bila shaka unatumia ubongo wa mende.
 
Vikwazo sio kbs. Yaani ile kitu mpaka masikini ataonja joto ya jiwe.
Sema kauli hiyo tu haitoshi jamaa kutufungia vioo.
Na labda ina baraka zao ama lah washaombana misamaha huko.

Ukijitia jeuri wale wapuuzi hawachelewi kutuletea waasi.
 
Kama Sisi kuongea tu Kiingereza chao ni mpaka tuandikiwe je, akitupigia kama tulivyotaka Jana tutaweza Kumuelewa?
 
Tanzania kuna kiingereza cha kuandika kujibia mtihani na kusoma speech na kumsifia aliesoma speech anajua kiingereza,

Hata walimu wa englis hawaelewi vizuri muvi na miziki ya marekani mpaka watumie subtitles au kusechi lyrics
 
Rais wa US huwa anaongea na watu wenye akili tu
 
Kuna katrend cha baadhi ya watu,wanasiasa na mabalozi wanataka kukatengeneza.yaani kutaka kuchukulia poa au kawaida eti Rais ni mtu au cheo cha kawaida tu.
Nawasihi tusijiaminishe upuuzi huu kwa mwamvuli wa demokrasia.
Kiongozi hata awe wa mtaa sio mtu wa kawaida tu.Kiongozi ni mtu mwenye maspirti ya kipekee...ana vyombo vingi sana ambavyo ni vya kawaida na sivivyo vya kawaida...amepitia mengi na ameona mengi sana ...ana akili zinazomwagika n.k
kamwe tusimchukulie poa.
 
Kasome ibara ya nane ya katiba ya JMT uone huo ukubwa wa mamlaka unayosema inaanzia wapi inaishia wapi...!
 
Kuna katrend cha baadhi ya watu,wanasiasa na mabalozi wanataka kukatengeneza.yaani kutaka kuchukulia poa au kawaida eti Rais ni mtu au cheo cha kawaida tu.
Nawasihi tusijiaminishe upuuzi huu kwa mwamvuli wa demokrasia.
Kiongozi hata awe wa mtaa sio mtu wa kawaida tu.Kiongozi ni mtu mwenye maspirti ya kipekee...ana vyombo vingi sana ambavyo ni vya kawaida na sivivyo vya kawaida...amepitia mengi na ameona mengi sana ...ana akili zinazomwagika n.k
kamwe tusimchukulie poa.
makaidi na jeuri wataeleweshwa tu kwa namna ambayo itawalazimu kuheshimu mamlaka za juu wapende wasipende 🐒
 
Back
Top Bottom