PreGE2025 Rais Samia kwa miezi 48 tu amepeleka maji kwenye vijiji vipya 5,521 alikuta vijiji vyenye maji ni 5,258 tu OCT TUNATIKI

PreGE2025 Rais Samia kwa miezi 48 tu amepeleka maji kwenye vijiji vipya 5,521 alikuta vijiji vyenye maji ni 5,258 tu OCT TUNATIKI

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sacrifice7

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2024
Posts
257
Reaction score
188
Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani tarehe 17.03. 2021,

Mwaka huo wa 2021 Tanzania ilitimiza miaka 60 ya Uhuru baada ya uhuru wake wa 9 dec 1961.

Katika kipindi hicho Serikali iikua imefikisha huduma ya maji kwenye jumla ya vijiji 5258 hii ni kwenye awamu zote Tano.

Kufikia mwaka 2025, Serikali chini ya Rais Samia imefikisha huduma ya maji kwenye jumla ya vijiji 10, 779 sawa na ongezeko la vijiji vipya 5521 na hii ni ndani ya miezi 48 tu,

Ndio sababu,

#OCT TUNATIK✓

IMG-20250626-WA0004.jpg
 
Wakati Rais SSH anaingia madarakani mwaka 2021, ikiwa ni miaka 60 ya Uhuru, Serikali iikua imefikisha huduma ya maji vijiji 5258, lakini kufikia mwaka 2025, Serikali imefikisha huduma ya maji vijiji 10, 779 sawa na ongezeko la vijiji 5521 ndani ya miaka4. Ndio sababu Oktoba tunatik!

View attachment 3385104
Rais Samia hajapeleka maji.

Hizo ni kodi za wananchi na mipango ya watu wengi sana walio ndani na nje ya serikali.

Acheni ujinga.
 
Siku gani serikali haijapeleka maji vijijini?

Na suala hapa ni "Samia", hii si habari ya Samia ni kazi ya watu wengi.

Umeelewa somo?
Mbona mabaya yote anapewa yeye why not na mazuri?
 
Uwezo wa serikali kuwaudumia wananchi umepungua sana, sijui analipa madeni??? au miradi mikubwa aliyoachiwa na mtagulizi wake imemtesa sana kuimalizia, kibaya zaidi mnatoa takwimu za uongo, Hata kipofu wanaweza kuhisi kuwa hapa tumedanganywa, mfano Tanroads, Tarura hizo taasisi mbili karibia zitafungwa au wafanyakazi wake wanakula mshahara wa bure, hakuna kazi wanayofanya, kisa miradi mingi imesimama. TUMUOMBEE.
 
Back
Top Bottom