Baba Linah
Senior Member
- Aug 29, 2021
- 113
- 171
“Amepeleka” ametoa hela yake mfukoni?.
Alafu huna hata aibu miaka 60+ mmetawala bado mnazungumzia huduma ya maji ambayo ingeweza kutolewa bure kwa wananchi wote sababu kila kona ya nchi inachanzo cha maji ambacho hakikauki.