ilani ya ccm ilikuwa kufikia 2025 maji vijijini iwe 80% na mijini iwe 100%,tuambie mmefikia percentage ngapi acha mbwembwe!!!!!Wakati Rais SSH anaingia madarakani mwaka 2021, ikiwa ni miaka 60 ya Uhuru, Serikali iikua imefikisha huduma ya maji vijiji 5258, lakini kufikia mwaka 2025, Serikali imefikisha huduma ya maji vijiji 10, 779 sawa na ongezeko la vijiji 5521 ndani ya miaka4. Ndio sababu Oktoba tunatik!
View attachment 3385104
Hata kama haliitwi ila linamuhusu yeyeDeni halifungamanishwi na mtu linaitwa Deni la taifa ila pesa hizo zikijenga hata choo zinaitwa za Fulani.
UsitupangieComment ziwe fupi fupi sana
Mmekopa weee mkazugia kwenye vimaji na madarasa huku za ndani zikiliwa kwa urefu wa kamba ya walajiWakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani tarehe 17.03. 2021,
Mwaka huo wa 2021 Tanzania ilitimiza miaka 60 ya Uhuru baada ya uhuru wake wa 9 dec 1961.
Katika kipindi hicho Serikali iikua imefikisha huduma ya maji kwenye jumla ya vijiji 5258 hii ni kwenye awamu zote Tano.
Kufikia mwaka 2025, Serikali chini ya Rais Samia imefikisha huduma ya maji kwenye jumla ya vijiji 10, 779 sawa na ongezeko la vijiji vipya 5521 na hii ni ndani ya miezi 48 tu,
Ndio sababu,
#OCT TUNATIK✓
View attachment 3385104
Kama hii . TOFAUTI ya 5528-5251 .Comment ziwe fupi fupi sana
Tungekupatia wewe Kodi zote za nchi unheshindwa kufanya hichoWakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani tarehe 17.03. 2021,
Mwaka huo wa 2021 Tanzania ilitimiza miaka 60 ya Uhuru baada ya uhuru wake wa 9 dec 1961.
Katika kipindi hicho Serikali iikua imefikisha huduma ya maji kwenye jumla ya vijiji 5258 hii ni kwenye awamu zote Tano.
Kufikia mwaka 2025, Serikali chini ya Rais Samia imefikisha huduma ya maji kwenye jumla ya vijiji 10, 779 sawa na ongezeko la vijiji vipya 5521 na hii ni ndani ya miezi 48 tu,
Ndio sababu,
#OCT TUNATIK✓
View attachment 3385104
Mbona wengine walishindwaTungekupatia wewe Kodi zote za nchi unheshindwa kufanya hicho
Sawa kila kitu kinawezekanaNo reform No election
SafiWakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani tarehe 17.03. 2021,
Mwaka huo wa 2021 Tanzania ilitimiza miaka 60 ya Uhuru baada ya uhuru wake wa 9 dec 1961.
Katika kipindi hicho Serikali iikua imefikisha huduma ya maji kwenye jumla ya vijiji 5258 hii ni kwenye awamu zote Tano.
Kufikia mwaka 2025, Serikali chini ya Rais Samia imefikisha huduma ya maji kwenye jumla ya vijiji 10, 779 sawa na ongezeko la vijiji vipya 5521 na hii ni ndani ya miezi 48 tu,
Ndio sababu,
#OCT TUNATIK✓
View attachment 3385104
SawaNo reform No election
Sawa Nini?Bas sawa
Yote yanawezekanaUnajuaje kama ndie atapitishwa kunusuru chama
SawaNo reform No election
Kazi na utu tunasonga mbeleWakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani tarehe 17.03. 2021,
Mwaka huo wa 2021 Tanzania ilitimiza miaka 60 ya Uhuru baada ya uhuru wake wa 9 dec 1961.
Katika kipindi hicho Serikali iikua imefikisha huduma ya maji kwenye jumla ya vijiji 5258 hii ni kwenye awamu zote Tano.
Kufikia mwaka 2025, Serikali chini ya Rais Samia imefikisha huduma ya maji kwenye jumla ya vijiji 10, 779 sawa na ongezeko la vijiji vipya 5521 na hii ni ndani ya miezi 48 tu,
Ndio sababu,
#OCT TUNATIK✓
View attachment 3385104
NRNE.Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani tarehe 17.03. 2021,