PreGE2025 Rais Samia kwa miezi 48 tu amepeleka maji kwenye vijiji vipya 5,521 alikuta vijiji vyenye maji ni 5,258 tu OCT TUNATIKI

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ni mikoa gani hayo maji ya sa100 yanapelekwa? Kuna sehemu kuunganishiwa maji ni kama vile unataka kufanya biashara ya mihadarati, unahitaji uwe na connection kubwa na utoe rushwa kwelikweli. Mfano mzuri ni Manispaa ya Morogoro kata ya Mkundi. Wanaoishi hii sehemu wana moyo sana.
 
Wakati Rais SSH anaingia madarakani mwaka 2021, ikiwa ni miaka 60 ya Uhuru, Serikali iikua imefikisha huduma ya maji vijiji 5258, lakini kufikia mwaka 2025, Serikali imefikisha huduma ya maji vijiji 10, 779 sawa na ongezeko la vijiji 5521 ndani ya miaka4. Ndio sababu Oktoba tunatik!

View attachment 3385104
Mpaka tuzunguke mguu kwa mguu,kijiji kwa kijiji tuyaone hayo maji. Kiukweli,Tomaso alikosea Sana kumfanyia utomaso Yesu(Kweli),utomaso unawafaa sana wanasiasa hasa wa hapa Tz!
 
Wakati Rais SSH anaingia madarakani mwaka 2021, ikiwa ni miaka 60 ya Uhuru, Serikali iikua imefikisha huduma ya maji vijiji 5258, lakini kufikia mwaka 2025, Serikali imefikisha huduma ya maji vijiji 10, 779 sawa na ongezeko la vijiji 5521 ndani ya miaka4. Ndio sababu Oktoba tunatik!

View attachment 3385104
Vijiji vipi hivyo?
Serikali imefeli sana kwenye huduma ya maji. Watendaji wanampelekea mama taarifa za uongo.
 
Ni mikoa gani hayo maji ya sa100 yanapelekwa? Kuna sehemu kuunganishiwa maji ni kama vile unataka kufanya biashara ya mihadarati, unahitaji uwe na connection kubwa na utoe rushwa kwelikweli. Mfano mzuri ni Manispaa ya Morogoro kata ya Mkundi. Wanaoishi hii sehemu wana moyo sana.
Hebu elezea nyie CHADEMA mkishinda mtafanya nini? Au mrafukuza Polisi wote?
 
Vijiji vipi hivyo?
Serikali imefeli sana kwenye huduma ya maji. Watendaji wanampelekea mama taarifa za uongo.
Sio kweli ununuzi wa mitambo ya kuchimbia Visima matokeo ndio hayo
 
Wakati Rais SSH anaingia madarakani mwaka 2021, ikiwa ni miaka 60 ya Uhuru, Serikali iikua imefikisha huduma ya maji vijiji 5258, lakini kufikia mwaka 2025, Serikali imefikisha huduma ya maji vijiji 10, 779 sawa na ongezeko la vijiji 5521 ndani ya miaka4. Ndio sababu Oktoba tunatik!

View attachment 3385104
Tunatiki
 
Sio kweli
Hivyo ni vijiji gani vina maji? Kijijini kwetu maji hakuna, anakotoka bibi mzaa mama maji hakuna, anakotoka bibi mzaa baba maji hayapo, alikoolewa shangazi yangu namba moja.....Maji hakuna, alikoolewa shangazi mwingine tena hakuna maji, kwa mjomba wangu.....maji hayapo, yaani hayajaunganishwa (Huko kote nakosema ni mikoa tofauti) Nimemuuliza rafiki yangu kama kwao kuna maji yameungwa....Jibu nililopata ni hakuna maji yaliyoungwa na haijulikani wapi yalipo. SASA HIVI VIJIJI VILIVYOUNGWA MAJI, VIPO NCHI GANI? Msaada tafadhali.
 
Wajibu wa Idara ya maji wanalala miaka yote ikitokea ujio wa kiongozi mkubwa ndio wanajifanya Wanafsnya kazi.

INGEKUA kijijini kwenu mmeishi Kwenye ukame na shida yenu inatumika kisiasa usingekua una Nadi ujinga
 
Vijiji
Hivyo ni vijiji gani vina maji? Kijijini kwetu maji hakuna, anakotoka bibi mzaa mama maji hakuna, anakotoka bibi mzaa baba maji hayapo, alikoolewa shangazi yangu namba moja.....Maji hakuna, alikoolewa shangazi mwingine tena hakuna maji, kwa mjomba wangu.....maji hayapo, yaani hayajaunganishwa (Huko kote nakosema ni mikoa tofauti) Nimemuuliza rafiki yangu kama kwao kuna maji yameungwa....Jibu nililopata ni hakuna maji yaliyoungwa na haijulikani wapi yalipo. SASA HIVI VIJIJI VILIVYOUNGWA MAJI, VIPO NCHI GANI? Msaada tafadhali.
Vijiji ni vingi vyenye maji
 
Wakati Rais SSH anaingia madarakani mwaka 2021, ikiwa ni miaka 60 ya Uhuru, Serikali iikua imefikisha huduma ya maji vijiji 5258, lakini kufikia mwaka 2025, Serikali imefikisha huduma ya maji vijiji 10, 779 sawa na ongezeko la vijiji 5521 ndani ya miaka4. Ndio sababu Oktoba tunatik!

View attachment 3385104
Ujinga ndo kama hivi sasa
 
Visima vinavyo. Chimbwa na waturuki kwenye misikiti?
Basi sawa
 
Wakati Rais SSH anaingia madarakani mwaka 2021, ikiwa ni miaka 60 ya Uhuru, Serikali iikua imefikisha huduma ya maji vijiji 5258, lakini kufikia mwaka 2025, Serikali imefikisha huduma ya maji vijiji 10, 779 sawa na ongezeko la vijiji 5521 ndani ya miaka4. Ndio sababu Oktoba tunatik!

View attachment 3385104
Kwanini afu tano,kwani tuna vijiji vingapi hapa tanzagiza,na vingapi maji wanakunywa tu tena machafu mvua inapo nyesha?
 
Ukweli ni kwamba amekamilisha miradi iliyoasisiwa na watangulizi wake.

Mradi wake unaojulikana ni Royal Tour na haijulikani kama umeleta faida au hasara.
 
20250629_132437.jpg

Mtuambie nini kinasebabisha shilingi yetu kuendelea kuahuka thamani na sio kujitumia.ksiingizio cha dola kupanda.
 
Back
Top Bottom