Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,047
- 16,378
Watu wangapi pia wameuwawa na kutekwa kipindi hiki?
Kama Rais kapeleka maji, kwa hoja hiyo hiyo Rais kawapoteza akina Mdude, Kibao etc. Vinaenda pamoja.Wakati Rais SSH anaingia madarakani mwaka 2021, ikiwa ni miaka 60 ya Uhuru, Serikali iikua imefikisha huduma ya maji vijiji 5258, lakini kufikia mwaka 2025, Serikali imefikisha huduma ya maji vijiji 10, 779 sawa na ongezeko la vijiji 5521 ndani ya miaka4. Ndio sababu Oktoba tunatik!
View attachment 3385104
Kapeleka kwa fedha zake ?? Acha upuuzi. Si tozo zetu? Si mikopo yetu?Wakati Rais SSH anaingia madarakani mwaka 2021, ikiwa ni miaka 60 ya Uhuru, Serikali iikua imefikisha huduma ya maji vijiji 5258, lakini kufikia mwaka 2025, Serikali imefikisha huduma ya maji vijiji 10, 779 sawa na ongezeko la vijiji 5521 ndani ya miaka4. Ndio sababu Oktoba tunatik!
View attachment 3385104
Kwanini ußipige kura?Sitapiga kura ila samia atapita hiyo nguvu ya ccm msuchukulie poa plus kususiwa🤗
Kampeni tu hz,Wakati Rais SSH anaingia madarakani mwaka 2021, ikiwa ni miaka 60 ya Uhuru, Serikali iikua imefikisha huduma ya maji vijiji 5258, lakini kufikia mwaka 2025, Serikali imefikisha huduma ya maji vijiji 10, 779 sawa na ongezeko la vijiji 5521 ndani ya miaka4. Ndio sababu Oktoba tunatik!
View attachment 3385104
Mbona akifanya vibaya mnasema ni yeye kafanya vibaya?Kodi zinazokusanywa za mama!
Mikopo ikija, ya mama!
Maendeleo yoyote yale, ni hela za mama hizo!
Bakshishi kwa Yanga na Simba, hela za mama!
MADENI YA MIKOPO? MADENI YA TAIFA!
Wajinga sana machawa wa mama Abdul!
Sasa huo ni uzembe wa watu wachecheUwezo wa serikali kuwaudumia wananchi umepungua sana, sijui analipa madeni??? au miradi mikubwa aliyoachiwa na mtagulizi wake imemtesa sana kuimalizia, kibaya zaidi mnatoa takwimu za uongo, Hata kipofu wanaweza kuhisi kuwa hapa tumedanganywa, mfano Tanroads, Tarura hizo taasisi mbili karibia zitafungwa au wafanyakazi wake wanakula mshahara wa bure, hakuna kazi wanayofanya, kisa miradi mingi imesimama. TUMUOMBEE.
Hapa mjini maji ni shida. Mabomba hayana maji je , huko vijijini mabomba yanatoa maji?Wakati Rais SSH anaingia madarakani mwaka 2021, ikiwa ni miaka 60 ya Uhuru, Serikali iikua imefikisha huduma ya maji vijiji 5258, lakini kufikia mwaka 2025, Serikali imefikisha huduma ya maji vijiji 10, 779 sawa na ongezeko la vijiji 5521 ndani ya miaka4. Ndio sababu Oktoba tunatik!
View attachment 3385104
No reform no election challenge imewashinda ccm unategemea kutakua na fair electionKwanini ußipige kura?
Na hakuna maji ,wamesambaza mabomba tuRais Samia hajapeleka maji.
Hizo ni kodi za wananchi na mipango ya watu wengi sana walio ndani na nje ya serikali.
Acheni ujinga.
Analipa madeni yapi ya ndani au njeUwezo wa serikali kuwaudumia wananchi umepungua sana, sijui analipa madeni??? au miradi mikubwa aliyoachiwa na mtagulizi wake imemtesa sana kuimalizia, kibaya zaidi mnatoa takwimu za uongo, Hata kipofu wanaweza kuhisi kuwa hapa tumedanganywa, mfano Tanroads, Tarura hizo taasisi mbili karibia zitafungwa au wafanyakazi wake wanakula mshahara wa bure, hakuna kazi wanayofanya, kisa miradi mingi imesimama. TUMUOMBEE.