PreGE2025 Rais Samia kwa miezi 48 tu amepeleka maji kwenye vijiji vipya 5,521 alikuta vijiji vyenye maji ni 5,258 tu OCT TUNATIKI

PreGE2025 Rais Samia kwa miezi 48 tu amepeleka maji kwenye vijiji vipya 5,521 alikuta vijiji vyenye maji ni 5,258 tu OCT TUNATIKI

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kama wananchi wanauwawa hayo maji nani atakunywa?Nafikiri kipaumbele Cha wananchi Kwa Sasa ni usalama kwanza!🤔
 
Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani tarehe 17.03. 2021,

Mwaka huo wa 2021 Tanzania ilitimiza miaka 60 ya Uhuru baada ya uhuru wake wa 9 dec 1961.

Katika kipindi hicho Serikali iikua imefikisha huduma ya maji kwenye jumla ya vijiji 5258 hii ni kwenye awamu zote Tano.

Kufikia mwaka 2025, Serikali chini ya Rais Samia imefikisha huduma ya maji kwenye jumla ya vijiji 10, 779 sawa na ongezeko la vijiji vipya 5521 na hii ni ndani ya miezi 48 tu,

Ndio sababu,

#OCT TUNATIK✓

View attachment 3385104
Hizi propaganda, nipo kwenye field ya ujenzi, miradi yote ya maji ilisainiwa kipindi Cha Magufuli baada kuisimamisha RUWASA na kuweka fedha ya kutosha mfano ni mkoa wa Dodoma ilisainiwa miradi 13 ya Bilioni 9 na fedha ilikuwepo Mama Kuingia madrakani fedha yote ilihamishwa kupelekwa Hazina Leo hii miradi Ile iliyosainiwa 2020 haijakamilika wakandarasi wanadai, pomoja na kuihamisha miradi hiyo kwenye fedha za P4R Mkopo wa World Bank mwaka Jana Bado wakandarasi hawajalipwa mpaka hivi Leo, nenda pale HQ ya RUWASA DODOMA Kwa DG -RUWASA uone vile wakandarasi wanapishana Kwa foleni ndiyo itajua hali halisi.
 
Uwezo wa serikali kuwaudumia wananchi umepungua sana, sijui analipa madeni??? au miradi mikubwa aliyoachiwa na mtagulizi wake imemtesa sana kuimalizia, kibaya zaidi mnatoa takwimu za uongo, Hata kipofu wanaweza kuhisi kuwa hapa tumedanganywa, mfano Tanroads, Tarura hizo taasisi mbili karibia zitafungwa au wafanyakazi wake wanakula mshahara wa bure, hakuna kazi wanayofanya, kisa miradi mingi imesimama. TUMUOMBEE.
Unachiongea ni kweli ndugu, Hali ya Wakandarasi ni mbaya sana Toka miradi ya mwakajuzi hawajalipwa mwaka huu nimeona hata kazi hazijatangazwa zaidi ya kazi za viraka
 
Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani tarehe 17.03. 2021,

Mwaka huo wa 2021 Tanzania ilitimiza miaka 60 ya Uhuru baada ya uhuru wake wa 9 dec 1961.

Katika kipindi hicho Serikali iikua imefikisha huduma ya maji kwenye jumla ya vijiji 5258 hii ni kwenye awamu zote Tano.

Kufikia mwaka 2025, Serikali chini ya Rais Samia imefikisha huduma ya maji kwenye jumla ya vijiji 10, 779 sawa na ongezeko la vijiji vipya 5521 na hii ni ndani ya miezi 48 tu,

Ndio sababu,

#OCT TUNATIK✓

View attachment 3385104
Mama anatisha sana
 
Mama kama Mama
 
Hivyo ni vijiji gani vina maji? Kijijini kwetu maji hakuna, anakotoka bibi mzaa mama maji hakuna, anakotoka bibi mzaa baba maji hayapo, alikoolewa shangazi yangu namba moja.....Maji hakuna, alikoolewa shangazi mwingine tena hakuna maji, kwa mjomba wangu.....maji hayapo, yaani hayajaunganishwa (Huko kote nakosema ni mikoa tofauti) Nimemuuliza rafiki yangu kama kwao kuna maji yameungwa....Jibu nililopata ni hakuna maji yaliyoungwa na haijulikani wapi yalipo. SASA HIVI VIJIJI VILIVYOUNGWA MAJI, VIPO NCHI GANI? Msaada tafadhali.
Wewe upo nje ya nchi?
 
Back
Top Bottom