Sacrifice7
JF-Expert Member
- Jun 5, 2024
- 257
- 188
Rais Samia hajapeleka maji.Wakati Rais SSH anaingia madarakani mwaka 2021, ikiwa ni miaka 60 ya Uhuru, Serikali iikua imefikisha huduma ya maji vijiji 5258, lakini kufikia mwaka 2025, Serikali imefikisha huduma ya maji vijiji 10, 779 sawa na ongezeko la vijiji 5521 ndani ya miaka4. Ndio sababu Oktoba tunatik!
View attachment 3385104
Sawa, ni Kodi zetu mbona mlikuwa hampeleki siku zoteRais Samia hajapeleka maji.
Hizo ni kodi za wananchi na mipango ya watu wengi sana walio ndani na nje ya serikali.
Acheni ujinga.
Umefikisha miaka 20 kweliSawa, ni Kodi zetu mbona mlikuwa hampeleki siku zote
Siku gani serikali haijapeleka maji vijijini?Sawa, ni Kodi zetu mbona mlikuwa hampeleki siku zote
Mbona mabaya yote anapewa yeye why not na mazuri?Siku gani serikali haijapeleka maji vijijini?
Na suala hapa ni "Samia", hii si habari ya Samia ni kazi ya watu wengi.
Umeelewa somo?
Mabaya yote unayajua wewe?Mbona mabaya yote anapewa yeye why not na mazuri?
NooSamia hakika ni Mpango wa Mungu
Tufanye umepeleka weweRais Samia hajapeleka maji.
Hizo ni kodi za wananchi na mipango ya watu wengi sana walio ndani na nje ya serikali.
Acheni ujinga.
Nani apeleke, je Kuna SERIKALI iliyoundewa nje na CCM ? Na TANU?Sawa, ni Kodi zetu mbona mlikuwa hampeleki siku zote
Waambie ukweli Hawa wapumbavu!Rais Samia hajapeleka maji.
Hizo ni kodi za wananchi na mipango ya watu wengi sana walio ndani na nje ya serikali.
Acheni ujinga.
Kamfanye mamaako na kipenseli chako.Tufanye umepeleka wewe