PreGE2025 Rais Samia kwa miezi 48 tu amepeleka maji kwenye vijiji vipya 5,521 alikuta vijiji vyenye maji ni 5,258 tu OCT TUNATIKI

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kama wananchi wanauwawa hayo maji nani atakunywa?Nafikiri kipaumbele Cha wananchi Kwa Sasa ni usalama kwanza!🤔
 
Hizi propaganda, nipo kwenye field ya ujenzi, miradi yote ya maji ilisainiwa kipindi Cha Magufuli baada kuisimamisha RUWASA na kuweka fedha ya kutosha mfano ni mkoa wa Dodoma ilisainiwa miradi 13 ya Bilioni 9 na fedha ilikuwepo Mama Kuingia madrakani fedha yote ilihamishwa kupelekwa Hazina Leo hii miradi Ile iliyosainiwa 2020 haijakamilika wakandarasi wanadai, pomoja na kuihamisha miradi hiyo kwenye fedha za P4R Mkopo wa World Bank mwaka Jana Bado wakandarasi hawajalipwa mpaka hivi Leo, nenda pale HQ ya RUWASA DODOMA Kwa DG -RUWASA uone vile wakandarasi wanapishana Kwa foleni ndiyo itajua hali halisi.
 
Unachiongea ni kweli ndugu, Hali ya Wakandarasi ni mbaya sana Toka miradi ya mwakajuzi hawajalipwa mwaka huu nimeona hata kazi hazijatangazwa zaidi ya kazi za viraka
 
Mama anatisha sana
 
Mama kama Mama
 
Wewe upo nje ya nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…