Rais Samia, kwa unyenyekevu mkubwa epuka huo mtego

PhD

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2009
Posts
4,692
Reaction score
3,891
Mheshimiwa Rais, suala la Mkataba wa Bandari limefichua nyufa kubwa za Taifa letu hasa katika suala la Dini, Muungano, Ukabila, Ukanda, Jinsia na Itikadi za Siasa. Sasa naomba nikushauri kwa unyenyekevu mkubwa epuka mtego wa wasaidizi wako hasa huu wa kukamata watu na kuwaambia ni wahaini.

Huu ni mtego Mkubwa kwako ili 2025 ubaki mkiwa na watakutoa sadaka. Usicheze na Hawa Jamaa wana mbinu balaa. Hivi unadhani unaweza mfunga Dr. Slaa halafu watu wa dini za mlengo wake wakakaa kimya, watakuandama balaa na watataka kuthibitisha madai ambayo mimi sitaki kuamini ya udini na mambo kama hayo. Vilevile waliokamatwa kwa uhaini wote ni watanzania bara, hili nalo litaongeza ufa uliopo katika Muungano.

Ushauri Wangu, kuwa makini kubali sauti za kila upande, amua kwa busara, jikabidhi kwa Mungui akupe busara, hekima na uthabiti.
 
Samia yupo kati kati naamini hata yeye haelewi wapi pakwenda, akitulia moto wa mkataba wa hovyo unaendelea kumuwakia, akisema awafunge midomo wanaouwasha moto, hapo napo anaenda kuuwasha moto mwingine kwa namna tofauti..

Huyu mama hii nchi imemshinda, hawezi kufanya lolote kwa sasa, ameamua kuacha mambo yajiendee, bahati mbaya hata hayo mambo yanavyojiendea, bado yanaendelea kumuharibikia, mwanamke ana bahati mbaya sana.
 
Mheshimiwa Rais, suala la Mkataba wa Bandari limefichua nyufa kubwa za Taifa letu hasa katika suala la Dini, Muungano, Ukabila, Ukanda, Jinsia na Itikadi za Siasa. Sasa naomba nikushauri kwa unyenyekevu mkubwa epuka mtego wa wasaidizi wako hasa huu wa kukamata watu na kuwaambia ni wahaini.

Huu ni mtego Mkubwa kwako ili 2025 ubaki mkiwa na watakutoa sadaka. Usicheze na Hawa Jamaa wana mbinu balaa. Hivi unadhani unaweza mfunga Dr. Slaa halafu watu wa dini za mlengo wake wakakaa kimya, watakuandama balaa na watataka kuthibitisha madai ambayo mimi sitaki kuamini ya udini na mambo kama hayo. Vilevile waliokamatwa kwa uhaini wote ni watanzania bara, hili nalo litaongeza ufa uliopo katika Muungano.

Ushauri Wangu, kuwa makini kubali sauti za kila upande, amua kwa busara, jikabidhi kwa Mungui akupe busara, hekima na uthabiti.
Good advice, but akina Lord denning The boss HIMARS GUSSIE choiceVariable Faizafoxy covax hawawez kukuelewa!! Wao ni tumbo lishibe tu!!
 
Mheshimiwa Rais, suala la Mkataba wa Bandari limefichua nyufa kubwa za Taifa letu hasa katika suala la Dini, Muungano, Ukabila, Ukanda, Jinsia na Itikadi za Siasa. Sasa naomba nikushauri kwa unyenyekevu mkubwa epuka mtego wa wasaidizi wako hasa huu wa kukamata watu na kuwaambia ni wahaini.

Huu ni mtego Mkubwa kwako ili 2025 ubaki mkiwa na watakutoa sadaka. Usicheze na Hawa Jamaa wana mbinu balaa. Hivi unadhani unaweza mfunga Dr. Slaa halafu watu wa dini za mlengo wake wakakaa kimya, watakuandama balaa na watataka kuthibitisha madai ambayo mimi sitaki kuamini ya udini na mambo kama hayo. Vilevile waliokamatwa kwa uhaini wote ni watanzania bara, hili nalo litaongeza ufa uliopo katika Muungano.

Ushauri Wangu, kuwa makini kubali sauti za kila upande, amua kwa busara, jikabidhi kwa Mungui akupe busara, hekima na uthabiti.
Unamshauri dikteta asiwe na hofu?

Kura zetu 2025 ni kuchagua kati ya Tanzania au CCM
 
Mheshimiwa Rais, suala la Mkataba wa Bandari limefichua nyufa kubwa za Taifa letu hasa katika suala la Dini, Muungano, Ukabila, Ukanda, Jinsia na Itikadi za Siasa. Sasa naomba nikushauri kwa unyenyekevu mkubwa epuka mtego wa wasaidizi wako hasa huu wa kukamata watu na kuwaambia ni wahaini.

Huu ni mtego Mkubwa kwako ili 2025 ubaki mkiwa na watakutoa sadaka. Usicheze na Hawa Jamaa wana mbinu balaa. Hivi unadhani unaweza mfunga Dr. Slaa halafu watu wa dini za mlengo wake wakakaa kimya, watakuandama balaa na watataka kuthibitisha madai ambayo mimi sitaki kuamini ya udini na mambo kama hayo. Vilevile waliokamatwa kwa uhaini wote ni watanzania bara, hili nalo litaongeza ufa uliopo katika Muungano.

Ushauri Wangu, kuwa makini kubali sauti za kila upande, amua kwa busara, jikabidhi kwa Mungui akupe busara, hekima na uthabiti.
Haya ulipaswa kuwashauri wale jamaa kabla ya kuanza kutukana na kumshurutisha rais

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Mheshimiwa Rais, suala la Mkataba wa Bandari limefichua nyufa kubwa za Taifa letu hasa katika suala la Dini, Muungano, Ukabila, Ukanda, Jinsia na Itikadi za Siasa. Sasa naomba nikushauri kwa unyenyekevu mkubwa epuka mtego wa wasaidizi wako hasa huu wa kukamata watu na kuwaambia ni wahaini.

Huu ni mtego Mkubwa kwako ili 2025 ubaki mkiwa na watakutoa sadaka. Usicheze na Hawa Jamaa wana mbinu balaa. Hivi unadhani unaweza mfunga Dr. Slaa halafu watu wa dini za mlengo wake wakakaa kimya, watakuandama balaa na watataka kuthibitisha madai ambayo mimi sitaki kuamini ya udini na mambo kama hayo. Vilevile waliokamatwa kwa uhaini wote ni watanzania bara, hili nalo litaongeza ufa uliopo katika Muungano.

Ushauri Wangu, kuwa makini kubali sauti za kila upande, amua kwa busara, jikabidhi kwa Mungui akupe busara, hekima na uthabiti.
acha upuuzi wako huo, we ndio unashabikia ubaguzi, waliokamwatwa ni wahalifu, hawakukamatwa kwasababu ya dini zao wala kuwa wametokea upande fulani wa muungano. Kwa hiyo kwa akili yako polisi ikamate mzanzibari hata hajafanya kosa? au imkamate muislam. Tumia akili kuliko makalio ktk kufikiri. Mama yetu atapita kwa kura za kishindo 2025 we nyau km umetumwa kumtisha rais wetu. We kweli ni kenge ufanye upumbavu uache kisa we mkatoliki na rais muislam? Kwanza hakuna wakristo wa kijinga hivyo.
 
Saa zingine naona kabisa huyu Maza hana shida wala kona yeyote ila hapa tatizo ni chawa wanampitisha kwenye miiba yaani nchi haiendeshwi kimpangilio imebaki mihemko
 
Back
Top Bottom