Rais Samia kwanini hasemi chochote popote kuhusu mambo muhimu?

Mnaowatetea wamasai mmewahi wasaidia nini?
 
Wengne tumeliona mapema Sana hili na kullalamikia.. Soma hoja namba 5 ktk uzi huu.
 
Mimi kama kuna jambo linalonishangaza kuhusu uongozi wa sasa ni ukimya wa Rais wa nchi, mambo mengi yanaendelea watu wana maswali mengi, tunapata habari tofauti, kwa nini Rais wa nchi hasimami na kuweka mambo sawa?

Kama hili la Wamasai kuondolewa kwa nini Mkuu wa nchi hatoki na kusema kuna hiki na kile, kwa nini watu wanaiongelea Serikali?

Kuna watu wanaamini kabisa Wamasai wanaondolewa kwa nguvu wakati Serikali inasema ni hiari, sasa kwa nini Rais hasimami na kuongea kumaliza mjadala?
Waarabu wamejaa kule hana namna ni wajomba zake, mjomba ni mama na mama ni MUNGU wako wa hapa duniani
 
Hayamhusu yeye ni raia wa nchi ya Zanzibar.
 
Nadhani watu walizoeshwa vibaya na bado wana mning'inio wa zama....Waziri wa Maliasili amelizungumzia hilo jambo...Waziri Mkuu kalizungumzia bungeni na pia akaenda mpaka eneo la tukio na kuzungumza tena...Hao ni watendaji wakuu wa serikali....Wakati ukifika na ikihitajika Rais ataongelea...Lakini kwa sasa lilikuwa kwa WM ambaye anatosha.
 
Ubaguzi ni ugonjwa unaotusumbua siku zote. Salim alipendwa sana na Mwalimu Nyerere lakini waliomkosesha urais ni wazenji wenzake wakidai ni mwarabu hivyo hawezi kuongoza TZ.

Malipo ni hapa hapa, Samia kachukua urais baada ya kifo cha JPM maana yake Mungu alitaka kutuonyesha madhara ya dhambi ya ubaguzi kwamba ukiwa ni binadamu hata siku moja usiseme haiwezekani jambo fulani kutokea.

Akiamua muumba na ukafika muda wake basi litatokea tu. Sasa hawa wanaongea ubaguzi ule ule wa miaka ya kina Salim ile ya 1985.

Wawe wapole tu ikiandikwa imeandikwa na Mungu.
 
Wewe unaweza kuzungumzia tatizo ambalo na wewe ni sehemu ya tatizo?
Mwacheni Mama aendelee kulamba asali kwa urefu wa kamba yake!
 
Kwani hakuna mabalozi mpk aende yeye?
Marekani nchi nyingi zina mabalozi wawili, mbona marais wanakwenda kuhudhuria mikutano wakati wana wawakilishi pale UN?.

Uwepo wa rais unaleta nguvu zaidi na nchi inaonekana ipo makini katika kuhitaji hao wawekezaji. JPM alihakikisha vyombo vya habari havina sauti na kwa kufanya hivyo akaonekana ni shujaa anayefuatwa na marais wakati yeye hawafuati.

Ukweli ni kuwa tuliyumba sana katika masuala ya diplomasia na SSH amefufua eneo hilo na wawekezaji wanaofurika ni matunda ya mitazamo hiyo.
 
Mbona Rais wa Marekani au PM wa Uingereza wao hawasafiri mara kwa mara kwenda kwneye nchi za wengine? tuchapeni kazi tuache kuomba omba kijinga, hakuna mtu alifanikiwa kwa kuomba omba hata mmoja, ardhi tunayo, madini, mito, mbunga kubwa, wanyama wa kila aina, tulichokosa ni akili na mfumo mbovu lakini MUNGU alitupa rasilimali zote hapa duniani
 
Back
Top Bottom