Rais Samia kwenda Malawi kuhudhuria mkutano wa 41 wa Wakuu wa nchi SADC

Rais Samia kwenda Malawi kuhudhuria mkutano wa 41 wa Wakuu wa nchi SADC

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Rais Samia Suluhu Hassan leo ataondoka nchini leo kwenda nchini Malawi kushiriki Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maaendeleo Kusini wa Afrika (SADC) utakofanyika Agosti 17 na 18. Pamoja na mambo mengine Malawi itathibitishwa kuwa Mwenyekiti wa SADC.

1629098925710.jpeg
 
This time Tunazuru kama nani Explorers, Missionaries au Traders?
 
Hivi hakuna namna serikali inaweza fanya huyu mama akatafutiwa sehemu ya kuish huko nje afu awe anarudi huku mara mojamoja kutusalimia? maana duh!
Mpaka nimecheka Kama mazuri vile? Kwa hiyo akikaa nje tuongozwe na Sirro?
 
Back
Top Bottom