tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Balozi yuko huko tayari wote nwana nyota ya mbwaSi amtume Balozi Mulamula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Balozi yuko huko tayari wote nwana nyota ya mbwaSi amtume Balozi Mulamula
Tatizo atakuja Mhutu mwingineHata asipo rudi sawa tu johnthebaptist
Askofu Rashid huyoKuna mtu amesikika akisema kwa sauti isiyosikika vizuri "Mama anazurura"
mzee, rais wa nchi anazururaje kiasi hiki? yaani ndani ya miezi mitano ameenda nje ya nchi zaidi ya alivyoitembelea mikoa ya nchi yake, na akiwa huku kila cku ana vikao na wazungu, wananchi anakutana nao saa ngapi ili atatue kero zao za vitu kupanda bei na tozo zisizo na kichwa wala miguu?... sasa kuna haja gani ya yeye kuishi tz? c tumtafutie tu kanchi huko akaage tu!Mpaka nimecheka Kama mazuri vile? Kwa hiyo akikaa nje tuongozwe na Sirro?
Ulitaka atumie baisikeli au?Ni mwendo wa ndege tu
Akifika wap?Akiwa anarudi, akifika Kiwira atuletee makatapera na mangubwisya. Pia vibama asisahau
Bora tozo kuliko kuokota miili ya watu kwenye viroba.Lakini hatukuwa na tozo Boss
Umeona eenhh?!!,Magu japo nilimdisi lkn alikuwa Mtu.Leo naona umuhimu wake.Samia hamna kitu.Lakini hatukuwa na tozo Boss
Sio anaelekea huko, tayari yupo huko.Hadi miaka yake iishe Tutakuwa tumesikia mengi.Afadhali tozo kuliko kutowaona Ben Saanane na Azory Gwanda (ingawa na huyu anaelekea huko)
Mimi wa IgogweAkifika wap?
Kiwira Madukani ndio nimekulia mimi
Ulitaka aende na Baiskeli?Ni mwendo wa ndege tu
Afadhali bibi anathubutu kuhudhuria mikutano ya kimataifa yule bwana alikuwa anasepa mara moja.Rais Samia Suluhu Hassan leo ataondoka nchini leo kwenda nchini Malawi kushiriki Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maaendeleo Kusini wa Afrika (SADC) utakofanyika Agosti 17 na 18. Pamoja na mambo mengine Malawi itathibitishwa kuwa Mwenyekiti wa SADC.
Namtakia safari njema na yenye mafanikio. Ndege anazifaidi kweli.