Rais Samia kwenda Malawi kuhudhuria mkutano wa 41 wa Wakuu wa nchi SADC

Rais Samia kwenda Malawi kuhudhuria mkutano wa 41 wa Wakuu wa nchi SADC

Akirudi, ajue anapaswa kushughulia hii harambee ya lazima waliyoipa jina la tozo, lakini pia ashughulikie tatizo la tanesco kutowaunganishia watu umeme kwa visingizio vya ajabu ajabu.
 
Mama anafidia ukame wa safari 2015-2020. Anakamata fursa kisawasawa
 
Kwani tulipungukiwa na nini?; mbona uchumi ulipaa, Sio kila mikutano Rais wa nchi audhulie, nyingine inabidi kutuma Wawakilishi kupunguza garama
Uchumi ungepaa angeshindwa kuongeza mishahara? Na mbona kakopa hela chungu nzima!
 
Watanzania mna maneno...oooh Magufuli hatembei....mataifa yatatutengaa.....leo mama anasafiri sana....tembea Samia tembea tuuu
 
Back
Top Bottom