Xkalinga
JF-Expert Member
- Sep 10, 2010
- 476
- 317
Ni kikao cha 41 cha wakuu wa nchi na serikaliSi amtume Balozi Mulamula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kikao cha 41 cha wakuu wa nchi na serikaliSi amtume Balozi Mulamula
Siku hizi s
Inaelekea anayeaminiwa kutumwa kwa sasa ni Rais Mwinyi tu.Si amtume Balozi Mulamula
Kwani tulipungukiwa na nini?; mbona uchumi ulipaa, Sio kila mikutano Rais wa nchi audhulie, nyingine inabidi kutuma Wawakilishi kupunguza garamaMiaka mitano iliyopita Tanzania tulikuwa tumejitenga sana kwa sababu ya ujinga wa mtu mmoja.
Nakazia ..tozo za kipumbavuLakini hatukuwa na tozo Boss
Kijana, amka!Si amtume Balozi Mulamula
Walienda wapiAfadhali tozo kuliko kutowaona Ben Saanane na Azory Gwanda (ingawa na huyu anaelekea huko)
Yeye mwenyewe ndio Serikali.Maana kibongobongo Rais Ni kila kitu..hahahaHivi hakuna namna serikali inaweza fanya huyu mama akatafutiwa sehemu ya kuish huko nje afu awe anarudi huku mara mojamoja kutusalimia? maana duh!
Acha apige posho....na TV yake huko Zenji mishahara atatoa wapi asipopiga misele?Kuna mtu amesikika akisema kwa sauti isiyosikika vizuri "Mama anazurura"
Watu wa pwani wakipata nafasi au fursa lazima wajiburudishe wao na mashoga zao..it is a good style in a way.. tatizo naona hapa watu wengi wanahofia Kodi zao..Ila Malawi kule lazima aende..pia msisahau, yeye ndio amekua akituwakirisha tangia 2015...naona Mambo magumu ya Magu kawaachia akina Mpaango,mabeo ,Sirro etal.Sidhani kama kuna kilichobadirika Sana...Ila akirudi atupe waziri wa ULINZI..ni muhimuJK style
Anaenda kupromote kiswahili kitumikeWatu wa pwani wakipata nafasi au fursa lazima wajiburudishe wao na mashoga zao..it is a good style in a way.. tatizo naona hapa watu wengi wanahofia Kodi zao..Ila Malawi kule lazima aende..pia msisahau, yeye ndio amekua akituwakirisha tangia 2015...naona Mambo magumu ya Magu kawaachia akina Mpaango,mabeo ,Sirro etal.Sidhani kama kuna kilichobadirika Sana...Ila akirudi atupe waziri wa ULINZI..ni muhimu
Rais Samia Suluhu Hassan leo ataondoka nchini leo kwenda nchini Malawi kushiriki Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maaendeleo Kusini wa Afrika (SADC) utakofanyika Agosti 17 na 18. Pamoja na mambo mengine Malawi itathibitishwa kuwa Mwenyekiti wa SADC.
Aisee!Siku hizi sisikii ajali za ndege kabisa!
Bila tozo hizo safari zitaghalimiwa na nani mkuuLakini hatukuwa na tozo Boss