Lakini hatukuwa na tozo BossMiaka mitano iliyopita Tanzania tulikuwa tumejitenga sana kwa sababu ya ujinga wa mtu mmoja.
Afadhali tozo kuliko kutowaona Ben Saanane na Azory Gwanda (ingawa na huyu anaelekea huko)Lakini hatukuwa na tozo Boss
Mpaka nimecheka Kama mazuri vile? Kwa hiyo akikaa nje tuongozwe na Sirro?Hivi hakuna namna serikali inaweza fanya huyu mama akatafutiwa sehemu ya kuish huko nje afu awe anarudi huku mara mojamoja kutusalimia? maana duh!
Nyota ya mbwa ni kuzurura tuRais Samia Suluhu Hassan leo ataondoka nchini leo kwenda nchini Malawi kushiriki Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maaendeleo Kusini wa Afrika (SADC) utakofanyika Agosti 17 na 18. Pamoja na mambo mengine Malawi itathibitishwa kuwa Mwenyekiti wa SADC.