Rais Samia kwenda Malawi kuhudhuria mkutano wa 41 wa Wakuu wa nchi SADC

Uzuri siku hizi mapinduzi yalishaisha Afrika vinginevyo watu wangeanzia terminal 3 alafu tunapandisha bendera yetu, kibaya chajitembeza kweli kweli.
 
Kweli watu walibanwa kuongea na kufungwa midomo,
Si kwa kebehi hizi,
Au ndio mambo ya magang hayo
 
Anachoenda kufanya kina faida kubwa kweli na kiswahili chenu,
Nyie endeleeni kumsema tu, ila yeye anatekeleza matakwa ya jpm ya kiswahili kitumike kama lugha ya kimataifa,
Mbumbumbu kama wote
 
Miaka mitano iliyopita Tanzania tulikuwa tumejitenga sana kwa sababu ya ujinga wa mtu mmoja.
Kwani tulipungukiwa na nini?; mbona uchumi ulipaa, Sio kila mikutano Rais wa nchi audhulie, nyingine inabidi kutuma Wawakilishi kupunguza garama
 
..mbona wakati SSH alipokuwa akimuwakilisha Jpm mlikuwa hamsemi kwamba anapenda safari au anazurura?

..SSH alikuwa akihudhuria mikutano yote ya kikanda ambayo Jpm alipaswa kuhudhuria kama mkuu wa nchi.
 
Hivi hakuna namna serikali inaweza fanya huyu mama akatafutiwa sehemu ya kuish huko nje afu awe anarudi huku mara mojamoja kutusalimia? maana duh!
Yeye mwenyewe ndio Serikali.Maana kibongobongo Rais Ni kila kitu..hahaha
 
Watu wa pwani wakipata nafasi au fursa lazima wajiburudishe wao na mashoga zao..it is a good style in a way.. tatizo naona hapa watu wengi wanahofia Kodi zao..Ila Malawi kule lazima aende..pia msisahau, yeye ndio amekua akituwakirisha tangia 2015...naona Mambo magumu ya Magu kawaachia akina Mpaango,mabeo ,Sirro etal.Sidhani kama kuna kilichobadirika Sana...Ila akirudi atupe waziri wa ULINZI..ni muhimu
 
Anaenda kupromote kiswahili kitumike
Kimataifa
Nadhani faida ni kubwa kuliko hasara
 


Hii itakuwa kujadili Msumbiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…