Rais Samia kwenye hutuba zake hamtaji mumewe kama viongozi wengine wana

Rais Samia kwenye hutuba zake hamtaji mumewe kama viongozi wengine wana

ngomaxtz

Member
Joined
Jun 6, 2025
Posts
43
Reaction score
62
Ukifatilia hutuba nyingi za viongozi wanapoitimisha kuhutubia anatoa shukurani Kwa watu wake wakaribu kama mke, watoto nk, lakini naona mama amtaji mumewe kama sehemu ya watu muhimu kwake juzi wakati wakuvunja bunge sijasikia akisema au baba yetu hayupo? Naleta hoja.
 
Heading umeandika "HUTUBA" na ndan ya content tena umerudia hutuba au mimi sjui kiswahili by the way huyo mwamba na huyo kizimkazi lazma haziivi
 
Anakuja anakuja anakuja mtukufu malikia
1751113495968.jpg
 
May be she walked out of that marriage after becoming a politician as most successful women in politics do,

Never expect a woman in Politics to remain faithful to her husband, they are after Sponsors who looks for greener pastures for them.

Politics is dirt game, political process is always fraud,Politics is satan thing!!!
 
Back
Top Bottom