Pre GE2025 Rais Samia, kwenye mabadiliko Madogo, Jumaa Aweso na Dorothy Gwajima tunaomba usiwaguse

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Salaam Wakuu,

Nadhani mtakubaliana nami kwamba hawa ni miongoni mwa Mawaziri wanaofanya vizuri.

Juma Aweso, Dorothy Gwajima na Dotto Biteko, ndo aina ya Mawaziri Tanzania inataka kuwaona.

Screenshot_20240618_151235_Chrome.jpg

Waziri Dkt. Dorothy Gwajima

Biteko kinachomkwambisha kazi ni nyingi. Anazidiwa.

Napendekeza apewe manaibu Waziri wawili. Mmoja awe Tanesco na mwingine akomae na Rea pamoja na taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati.

Jirani yake Kassim Majaliwa Pale Makambi Mjini Songea, Dada Jenista Mhagama atulie hapo hapo.

360d7de86987961ce2d5d2fdad5d2ce5.jpeg
Waziri wa Maji Jumaa Aweso

Ila pia nashauri Mkwe wetu Mchengerwa aondolewe Tamisemi ili Dr. Mkenda akafanye kazi mambo aliyosomea Tamisemi.

Mchengerwa apelekwe Muungano na Mazingira, na Jafo apelekwe Wizara ya Utalii.

Abdallah Ulega na Damas Ndumbaro wapangiwe kazi nyingine.

Ashantu Kijaji apewe Manaibu Wawili wapya na mmoja awe Viwanda Mwingine Biashara.

Kilimo apewe Luhaga Mpina ili tuone Kelele zake kama zinaendana na Vitendo.
 
Imekuwa too much haya mabadiliko na. Hayaleti tija yeyote aiseee hii itavunja rekodi
 
Salaam Wakuu,

Nadhani mtakubaliana nami kwamba hawa ni miongoni mwa Mawaziri wanaofanya vizuri.

Juma Aweso, Dorothy Gwajima na Dotto Biteko, ndo aina ya Mawaziri Tanzania inataka kuwaona.

Biteko kinachomkwambisha kazi ni nyingi. Anazidiwa.

Napendekeza apewe manaibu Waziri wawili. Mmoja awe Tanesco na mwingine akomae na Rea pamoja na taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati.

Jirani yake Kassim Majaliwa Pale Makambi Mjini Songea, Dada Jenista Mhagama atulie hapo hapo.

Ila pia nashauri Mkwe wetu Mchengerwa aondolewe Tamisemi ili Dr. Mkenda akafanye kazi mambo aliyosomea Tamisemi.

Mchengerwa apelekwe Muungano na Mazingira, na Jafo apelekwe Wizara ya Utalii.

Abdallah Ulega na Damas Ndumbaro wapangiwe kazi nyingine.

Ashantu Kijaji apewe Manaibu Wawili wapya na mmoja awe Viwanda Mwingine Biashara.

Kilimo apewe Luhaga Mpina ili tuone Kelele zake kama zinaendana na Vitendo.
Mpina asipewe popote ili tuendelee kujua panapovuja!
 
Haya ndio matumizi bora ya kipara, hii ni bonge la point! Wapo watu sio wa kuwapa manyazifa bali kuwapa opportunities za kuzungumzia yale ya hovyo bila aibu wala woga na Mpina ni mmoja wapo katika bunge hili.
Huyo ni kuhakikisha bado anakuwa mbunge wa CCM hata kama Chadema inaunda serikali 2025.
Huyo ndio ataweza kuwapopoa mawaziri wa serikali vizuri wakiboronga.
 
Ni marufuku kushika kilevi wakati wa kazi CCM iendelee kuongoza daima huyu bashe wakati ni back bencha alipiga kelele sana!
 
Tunataka sura mpyaa zenye mawazo mapyaa...sio hao hao tu anatolewa hapa anapeleka madudu pale kana kwamba hakuna watz wengine wenye uwezo zaidi!.
 
Mpina anafanya kazi ambayo ingefanywa na Wapinzani na hili ni kosa alilorishiriki yeye mwenyewe kwa kumshauri chuma adhoofishe upinzani dawa, msimu ujao wabunge wasiojitambua wote wapigwe chini wapinzani waongezeke kubalance equation.
 
Salaam Wakuu,

Nadhani mtakubaliana nami kwamba hawa ni miongoni mwa Mawaziri wanaofanya vizuri.

Juma Aweso, Dorothy Gwajima na Dotto Biteko, ndo aina ya Mawaziri Tanzania inataka kuwaona.
View attachment 3020019Waziri Dkt. Dorothy Gwajima

Biteko kinachomkwambisha kazi ni nyingi. Anazidiwa.

Napendekeza apewe manaibu Waziri wawili. Mmoja awe Tanesco na mwingine akomae na Rea pamoja na taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati.

Jirani yake Kassim Majaliwa Pale Makambi Mjini Songea, Dada Jenista Mhagama atulie hapo hapo.
View attachment 3020021
WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso

Ila pia nashauri Mkwe wetu Mchengerwa aondolewe Tamisemi ili Dr. Mkenda akafanye kazi mambo aliyosomea Tamisemi.

Mchengerwa apelekwe Muungano na Mazingira, na Jafo apelekwe Wizara ya Utalii.

Abdallah Ulega na Damas Ndumbaro wapangiwe kazi nyingine.

Ashantu Kijaji apewe Manaibu Wawili wapya na mmoja awe Viwanda Mwingine Biashara.

Kilimo apewe Luhaga Mpina ili tuone Kelele zake kama zinaendana na Vitendo.
Hahaa kwa Dorothy Gwaji sikuungi mkono.
 
Tunahitaji kuona matokeo yanayotokana na matumizi ya akili na sio matokeo yanayotegemea akili ya kawaida sana ambayo kila mtu anayo.
 
Mpina anafanya kazi ambayo ingefanywa na Wapinzani na hili ni kosa alilorishiriki yeye mwenyewe kwa kumshauri chuma adhoofishe upinzani dawa, msimu ujao wabunge wasiojitambua wote wapigwe chini wapinzani waongezeke kubalance equation.
Uquation haibalansiki na wapiga meza utakesha.
 
Back
Top Bottom