figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Salaam Wakuu,
Nadhani mtakubaliana nami kwamba hawa ni miongoni mwa Mawaziri wanaofanya vizuri.
Juma Aweso, Dorothy Gwajima na Dotto Biteko, ndo aina ya Mawaziri Tanzania inataka kuwaona.
Waziri Dkt. Dorothy Gwajima
Biteko kinachomkwambisha kazi ni nyingi. Anazidiwa.
Napendekeza apewe manaibu Waziri wawili. Mmoja awe Tanesco na mwingine akomae na Rea pamoja na taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati.
Jirani yake Kassim Majaliwa Pale Makambi Mjini Songea, Dada Jenista Mhagama atulie hapo hapo.
Waziri wa Maji Jumaa Aweso
Ila pia nashauri Mkwe wetu Mchengerwa aondolewe Tamisemi ili Dr. Mkenda akafanye kazi mambo aliyosomea Tamisemi.
Mchengerwa apelekwe Muungano na Mazingira, na Jafo apelekwe Wizara ya Utalii.
Abdallah Ulega na Damas Ndumbaro wapangiwe kazi nyingine.
Ashantu Kijaji apewe Manaibu Wawili wapya na mmoja awe Viwanda Mwingine Biashara.
Kilimo apewe Luhaga Mpina ili tuone Kelele zake kama zinaendana na Vitendo.