Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Siku zote Misri imekuwa ikidai kuwa ina haki na maji ya mto na nile na chanzo chake kuliko nchi nyingine yoyote ya ukanda wa mto nile.
Misri imekuwa ikirejea mkataba wa kikoloni unaoipa Misri share kubwa ya Maji hayo kwa kudai kuwa nchi ambazo mto nile na vyanzo vyake vipo havipaswi kutumia maji mengi kiasi cha kuathiri share hiyo ya Misri
Msimamo huo ulipingwa vikali na nchi za ukanda huu, na zimekuwa zikisisitiza haki yao ya kutumia maji hayo kwa shughuli zote zinazohitaji maji ikiwemo kilimo na kunywa.
Tunamtaka rais Samia awe makini huko aendako, asije akaingia mkataba wowote au makubaliano yoyote na Misri yatakayotuondolea haki ya kutumia maji ya Ziwa victoria, Au mkataba wowote unaotulazimisha kupata baraka za misri katika utumiaji wa maji hayo.
Leo tunaona chokochoko zibazoebdelea huko Ethiopia za vita vya wenyewe kwa wenyewe, tinajua kuwa Misri ina mkono wake katika chokochoko hizo kwa sababu haitaki Ethiopia ijenge na kutumia lile bwawa la Rennainsance dam, kwa hoja hizohizo kuwa bwawa litatumia maji mengi na hivyo kusababisha Misri ikose maji ya kutosha
Misri huwa wanakuja na vimisaada feki kwa nchi masikini ikiwemo
1. Scholarship
2. Kuchimba visima etc
Misri huwa inajenga hoja eti nchi zetu zina mvua nyingi kwa hiyo hazihitaji sana kutumia maji ya ziwa victoria. Hii hoja ni muflisi kwa sababu kwanza Mvua zina msimu, kutunza maji ya mvua inahitaji miundombinu ghali, na mvua zenyewe siyo reliable.
Lakini kikubwa zaidi, siyo haki kutwambia sisi tusitumie rasilimali aliyotupa Mungu eti rasilimali hiyo inahitajika na wengine.
Samia asikubali divide and conquer ya Misri, aiambie Misri kuwa suala la Maji ya Ziwa victoria Tanzania itadeal na Misri kupitia umoja wa nchi za chanzo cha mto nile na kwamba Tanzania hairadeal na Misri individually.
Rais awe makini na charm offensive ya wamisri, watamtake cade vizyri, kumpokea vuzuri n. k lakini wanataka kupara lionshare ya maji yetu hao.
Wamisri wana chanzo cha maji kutoka bahari ya Mediterannian, waache uvivu na ubahili wafanye desalination.
Sisi hatuwezi kuaffird kuachia maji yetu kizembezembe kwa sababu kwanza tuna mgogoro ziwa Nyasa, sasa iweje na ziwa Victoria tuwekewe vikwazo?
Rais awe makini sana