Rais Samia kwenye ziara yako huko Misri kuwa makini na ishu ya maji ya ziwa victoria

Kinachonichukza katika enzi hizi za mitandao ya jamii: utakuta mtu hata hana ufahamu wa issue, lakini atataka kuchangia, tena kana kwamba maoni yak tu ndiyo bora na sawa.
Aliyeleta makala hii namsifu kwa kulifahamu suala hili . I hope kuw kiongozi wetu analifahamu suala hili. Lakini pia nadhani kuimarisha mahusiano na Misri, nchi ya tatu kwa uchumi mkubwa Afrika, ni jambo la lazima. Wamisri pia wana techinical know-how kubwa, hasa katika masuala ya uhandisi wa maji. Basi awatake tu watusaiie kufufua mito yetu na mabwawa yaliyokauka kwa uzembe na kutopatiliza, kama bwawa la Mabatani, Muheza.
 
Siku zote Misri imekuwa ikidai kuwa ina haki na maji ya mto na nile na chanzo chake kuliko nchi nyingine yoyote ya ukanda wa mto nile.

Misri imekuwa ikirejea mkataba wa kikoloni unaoipa Misri share kubwa ya Maji hayo kwa kudai kuwa nchi ambazo mto nile na vyanzo vyake vipo havipaswi kutumia maji mengi kiasi cha kuathiri share hiyo ya Misri

Msimamo huo ulipingwa vikali na nchi za ukanda huu, na zimekuwa zikisisitiza haki yao ya kutumia maji hayo kwa shughuli zote zinazohitaji maji ikiwemo kilimo na kunywa.

Tunamtaka rais Samia awe makini huko aendako, asije akaingia mkataba wowote au makubaliano yoyote na Misri yatakayotuondolea haki ya kutumia maji ya Ziwa victoria, Au mkataba wowote unaotulazimisha kupata baraka za misri katika utumiaji wa maji hayo.

Leo tunaona chokochoko zibazoebdelea huko Ethiopia za vita vya wenyewe kwa wenyewe, tinajua kuwa Misri ina mkono wake katika chokochoko hizo kwa sababu haitaki Ethiopia ijenge na kutumia lile bwawa la Rennainsance dam, kwa hoja hizohizo kuwa bwawa litatumia maji mengi na hivyo kusababisha Misri ikose maji ya kutosha

Misri huwa wanakuja na vimisaada feki kwa nchi masikini ikiwemo
1. Scholarship
2. Kuchimba visima etc

Misri huwa inajenga hoja eti nchi zetu zina mvua nyingi kwa hiyo hazihitaji sana kutumia maji ya ziwa victoria. Hii hoja ni muflisi kwa sababu kwanza Mvua zina msimu, kutunza maji ya mvua inahitaji miundombinu ghali, na mvua zenyewe siyo reliable.
Lakini kikubwa zaidi, siyo haki kutwambia sisi tusitumie rasilimali aliyotupa Mungu eti rasilimali hiyo inahitajika na wengine.

Samia asikubali divide and conquer ya Misri, aiambie Misri kuwa suala la Maji ya Ziwa victoria Tanzania itadeal na Misri kupitia umoja wa nchi za chanzo cha mto nile na kwamba Tanzania hairadeal na Misri individually.

Rais awe makini na charm offensive ya wamisri, watamtake cade vizyri, kumpokea vuzuri n. k lakini wanataka kupara lionshare ya maji yetu hao.

Wamisri wana chanzo cha maji kutoka bahari ya Mediterannian, waache uvivu na ubahili wafanye desalination.

Sisi hatuwezi kuaffird kuachia maji yetu kizembezembe kwa sababu kwanza tuna mgogoro ziwa Nyasa, sasa iweje na ziwa Victoria tuwekewe vikwazo?

Rais awe makini sana
Asipofanya kama ulivo shauri utafanyaje? We kausha tu, hivi vitu viko nje ya uwezo wako. Haki inapiganiwa haiombwi, utalalamika mpaka mda wa kuishi duniani unaisha we bado unalalamika
 
Kwa taarifa yako maji yanayofika Misri asilimia kubwa yanatoka Ethiopia na sio lake Victoria.
Ndio utaona Uganda walipo amua kujenga bwawa la pili wala Misri haikulalamika tofauti na Ethiopia inapojenga bwawa la Reinancess kesi imefika UN na Marekani ndio msuluhishi
Tusijipe umuhimu mkubwa tusiostahili.
 
Umenikumbusha kakitu muhimu sana sana! Misri ipo radhi iingie vitani kwa sababu ya hayo maji. Umenifunua macho kuhusu mgogoro wa Ethiopia! Kwa hakika hawa jamaa wana mkono wao pale.
Hawa jamaa hawataki tutumie maji ya Ziwa Victoria kwa shughuli zetu, hata ule mradi wa bomba la maji toka Mwanza kwenda Kahama ilibidi Waziri wa Maji enzi hizo, Bwana Laigwanan, afanye kichwa ngumu tu na jeuri ya lubega ndio maji yaende ila Misri walikuwa hawataki. Sasa nasikia Serikali ina mpango wa kupeleka maji toka Ziwa Victoria kwenda Dodoma, huenda General wa Misri analijua hilo na akalichomekea.
Haiingii akilini ati tuna maji tusiyatumie kwa kuwa Misri wana sijui mkataba wa mwaka 1910; wakachukue maji Uingereza huko siyo kwetu.
 
Kwa taarifa yako maji yanayofika Misri asilimia kubwa yanatoka Ethiopia na sio lake Victoria.
Ndio utaona Uganda walipo amua kujenga bwawa la pili wala Misri haikulalamika tofauti na Ethiopia inapojenga bwawa la Reinancess kesi imefika UN na Marekani ndio msuluhishi
Tusijipe umuhimu mkubwa tusiostahili.
Mbona walipiga yowe tulipochukua maji ya Ziwa Victoria kwenda Kahama?
 
Siku zote Misri imekuwa ikidai kuwa ina haki na maji ya mto na nile na chanzo chake kuliko nchi nyingine yoyote ya ukanda wa mto nile.

Misri imekuwa ikirejea mkataba wa kikoloni unaoipa Misri share kubwa ya Maji hayo kwa kudai kuwa nchi ambazo mto nile na vyanzo vyake vipo havipaswi kutumia maji mengi kiasi cha kuathiri share hiyo ya Misri

Msimamo huo ulipingwa vikali na nchi za ukanda huu, na zimekuwa zikisisitiza haki yao ya kutumia maji hayo kwa shughuli zote zinazohitaji maji ikiwemo kilimo na kunywa.

Tunamtaka rais Samia awe makini huko aendako, asije akaingia mkataba wowote au makubaliano yoyote na Misri yatakayotuondolea haki ya kutumia maji ya Ziwa victoria, Au mkataba wowote unaotulazimisha kupata baraka za misri katika utumiaji wa maji hayo.

Leo tunaona chokochoko zibazoebdelea huko Ethiopia za vita vya wenyewe kwa wenyewe, tinajua kuwa Misri ina mkono wake katika chokochoko hizo kwa sababu haitaki Ethiopia ijenge na kutumia lile bwawa la Rennainsance dam, kwa hoja hizohizo kuwa bwawa litatumia maji mengi na hivyo kusababisha Misri ikose maji ya kutosha

Misri huwa wanakuja na vimisaada feki kwa nchi masikini ikiwemo
1. Scholarship
2. Kuchimba visima etc

Misri huwa inajenga hoja eti nchi zetu zina mvua nyingi kwa hiyo hazihitaji sana kutumia maji ya ziwa victoria. Hii hoja ni muflisi kwa sababu kwanza Mvua zina msimu, kutunza maji ya mvua inahitaji miundombinu ghali, na mvua zenyewe siyo reliable.
Lakini kikubwa zaidi, siyo haki kutwambia sisi tusitumie rasilimali aliyotupa Mungu eti rasilimali hiyo inahitajika na wengine.

Samia asikubali divide and conquer ya Misri, aiambie Misri kuwa suala la Maji ya Ziwa victoria Tanzania itadeal na Misri kupitia umoja wa nchi za chanzo cha mto nile na kwamba Tanzania hairadeal na Misri individually.

Rais awe makini na charm offensive ya wamisri, watamtake cade vizyri, kumpokea vuzuri n. k lakini wanataka kupara lionshare ya maji yetu hao.

Wamisri wana chanzo cha maji kutoka bahari ya Mediterannian, waache uvivu na ubahili wafanye desalination.

Sisi hatuwezi kuaffird kuachia maji yetu kizembezembe kwa sababu kwanza tuna mgogoro ziwa Nyasa, sasa iweje na ziwa Victoria tuwekewe vikwazo?

Rais awe makini sana
Yaani Misri imemwita Rais Samia kwa sababu ya mto Nile,hakuna jingine kwenye ziara hiyo,kwa uboya wa Samia mtakuja kusikia muda si mrefu,hakuna kutumia maji ya ziwa Victoria kwenye kilimo,
 
Masikini ni masikini tu haishi kulalamika, maji yanatoka kwetu miaka yote tunalalamika upungufu wa chakula! Misri miaka na miaka wamekua wakijilisha wenyewe na kutupa misaada kutokana na faida wanayoipata kwenye mto Nile, kweli kwenye miti hakuna wajenzi.
Kwa hiyo unaushauri Tuwakabidhi kabisa mto Nile sisi Tuachane nao si ndiyo?
 
Haya maji yameanza kutiririka katika Misri tokea iumwe dunia.WaTanzania hatuhitajii maji Ya Ziwani kwanza tunajua ni vinyesi vitupu,Hivi unataka kutwambia Serikali ya Tanzania inawanyesha watz maji ya Ziwa victoria ?

Maji tuliyonayo ardhini ni mengi kuliko hayo yaliyojaa kinyesi cha binadamu,waacheni wamasri watumie na wengine na wengine tuone kama Ziwa victoria litakauka,WaEthiopia hawawezi kuzuia maji ya Nile yasititirikie huko,hawana uwezo huo hata wajenge bwawa kubwa kiasi gani.

Tanzania tuna maji si zaidi ya mita hamsini chini ya ardhi mbali ya mito ,Hapa Muheza tuna Maji kule Magoroto kuna mto hale kuna mto zigi inakuwaje watu wa Muheza wanakosa maji ? Na zaidi hupewa maji kwa Mgao ,
Tuna tatizo la wabunge waganga njaa wasema uongo,wapo wapo tu.

Kutaka kuvamia mambo ya Ziwa victoria eti wamasri wakitumia maji Ziwa litakauka ,hili Ziwa mlileta au kulitengeza nyinyi ?
Wamisri ndo wanaamini hivyo, kuwa mto Nile utakauka
 
Siku zote Misri imekuwa ikidai kuwa ina haki na maji ya mto na nile na chanzo chake kuliko nchi nyingine yoyote ya ukanda wa mto nile.

Misri imekuwa ikirejea mkataba wa kikoloni unaoipa Misri share kubwa ya Maji hayo kwa kudai kuwa nchi ambazo mto nile na vyanzo vyake vipo havipaswi kutumia maji mengi kiasi cha kuathiri share hiyo ya Misri

Msimamo huo ulipingwa vikali na nchi za ukanda huu, na zimekuwa zikisisitiza haki yao ya kutumia maji hayo kwa shughuli zote zinazohitaji maji ikiwemo kilimo na kunywa.

Tunamtaka rais Samia awe makini huko aendako, asije akaingia mkataba wowote au makubaliano yoyote na Misri yatakayotuondolea haki ya kutumia maji ya Ziwa victoria, Au mkataba wowote unaotulazimisha kupata baraka za misri katika utumiaji wa maji hayo.

Leo tunaona chokochoko zibazoebdelea huko Ethiopia za vita vya wenyewe kwa wenyewe, tinajua kuwa Misri ina mkono wake katika chokochoko hizo kwa sababu haitaki Ethiopia ijenge na kutumia lile bwawa la Rennainsance dam, kwa hoja hizohizo kuwa bwawa litatumia maji mengi na hivyo kusababisha Misri ikose maji ya kutosha

Misri huwa wanakuja na vimisaada feki kwa nchi masikini ikiwemo
1. Scholarship
2. Kuchimba visima etc

Misri huwa inajenga hoja eti nchi zetu zina mvua nyingi kwa hiyo hazihitaji sana kutumia maji ya ziwa victoria. Hii hoja ni muflisi kwa sababu kwanza Mvua zina msimu, kutunza maji ya mvua inahitaji miundombinu ghali, na mvua zenyewe siyo reliable.
Lakini kikubwa zaidi, siyo haki kutwambia sisi tusitumie rasilimali aliyotupa Mungu eti rasilimali hiyo inahitajika na wengine.

Samia asikubali divide and conquer ya Misri, aiambie Misri kuwa suala la Maji ya Ziwa victoria Tanzania itadeal na Misri kupitia umoja wa nchi za chanzo cha mto nile na kwamba Tanzania hairadeal na Misri individually.

Rais awe makini na charm offensive ya wamisri, watamtake cade vizyri, kumpokea vuzuri n. k lakini wanataka kupara lionshare ya maji yetu hao.

Wamisri wana chanzo cha maji kutoka bahari ya Mediterannian, waache uvivu na ubahili wafanye desalination.

Sisi hatuwezi kuaffird kuachia maji yetu kizembezembe kwa sababu kwanza tuna mgogoro ziwa Nyasa, sasa iweje na ziwa Victoria tuwekewe vikwazo?

Rais awe makini sana
Asije kusema hatukumtahadharisha. Hao waarabu wanaonaga sisi mafala na kwamba wao wajanja sana. Mama asije kurudia makosa kama yale ya kumpa yule mkora tony blair mkataba wa kutusemea halafu anatusemea mambo hajatumwa. Mama awe makini asije tia saini kuhusu chochote maji ya victoria.
 
Sielewi! Mungu kanipa chanzo kizuri cha maji katika mji wangu, eti nipangiwe na jirani namna ya kutumia maji yangu. Nasema kwa kujiamini! Natumia maji yangu ila kiasi kinachobaki nakuachia.
 
Back
Top Bottom