Rais Samia: Lazima tuwafundishe Watoto wetu kuhusu uzazi wa mpangilio

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Rais wa Samia Suluhu Hassan ameyasema hayo wakati akihutubia katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere (JNICC), Julai 26, 2023 Jijini Dar es Salaam.

Amesema “Lazima tuwafundishe Watoto wetu kuhusu uzazi wa mpangilio, kama nilivyosema Afrika idadi ya watu ni kubwa, inaweza kutuletea tija au ikaeta mambo yasiyofaa kama hatutaitumia vizuri.”
 
ni nani anayeweza kumpangia mungu kwamba sasa ivi dunian kuwe na watu wangapi?Ebu tuwaacheni watu wazaliane Mungu ndiye ajuaye atawahifadh vpi watu wake.
 
Ndugu Zangu Zaeni, Ila Kama Wewe Ni Mvivu Unategemea Mnazi Mmoja Ndiyo Ufikirie Kupanga Uzazi. Wewe Waziri Wa Afya Sitaki Kusikia Hilo
By Mzilankende
 
ni nani anayeweza kumpangia mungu kwamba sasa ivi dunian kuwe na watu wangapi?Ebu tuwaacheni watu wazaliane Mungu ndiye ajuaye atawahifadh vpi watu wake.

Mungu hajengi hospitali
Mungu hajengi barabara
Mungu Hajengi Shule
Mungu Hatoi Ajira.

Mungu alishajitoa na mambo ya wanadamu, alishawaachia mamlaka yote. Ndio maana ukifanya uhalifu leo, Mungu hatakuhukumu, wapo polisi, magereza, majaji na mahakimu WA kudili na wewe.

Kumhusisha Mungu kwenye mambo yasiyo mhusu ni dalili ya kutokujitambua
 
You are right, they "abuse" this name, God!!!!!!!!!
 
Uchina ,India ,Leo wako mbali kiuchumi Kwa sababu ya idadi kubwa ya Watu.
Ni kweli. Population ina faida/hasara kutegemeana na mazingira.

Ukiwa katika mazingira mazuri ya kuitumia kama ilivyo kwa China na India ni faida kubwa katika kujenga na kukuza uchumi, lakini katika mazingira magumu kama haya ya Afrika kwa kiasi kikubwa population ni hasara, ni mzigo kwa serikali.

Mama yupo sahihi kwa [emoji817]%. Na hili alitakiwa alizungumze kwa mapana na marefu, na kwa msisitizo kipindi anapokea takwimu za sensa mwaka jana. Nilishangaa sana alichagua kulikalia kimya.
 
Rais wa Samia Suluhu Hassan ameyasema hayo wakati akihutubia katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere (JNICC), Julai 26, 2023 Jijini Dar es Salaam.

Amesema “Lazima tuwafundishe Watoto wetu kuhusu uzazi wa mpangilio, kama nilivyosema Afrika idadi ya watu ni kubwa, inaweza kutuletea tija au ikaeta mambo yasiyofaa kama hatutaitumia vizuri.”
Tusizae Ili Bandari wamiliki waarabu
 
Kwa maliasili tulizonazo hatujafikia uamuzi wa kupangiana watoto wa kuzaa.Tatizo ninyi mnauza maliasili zetu kwa waarabu wenu. Achane kuuza bandari zetu
 
Tuanze na wapemba wenye viwanda vyao vya kufyatua wototo hapa Dar Sasa sijui wanafanya makusudi kuijaza Dar au na kwao Pemba wanafanya ivoivo
 
Back
Top Bottom