Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Khalafu utasikia tunalenga soko la EAC lililo na DRC watu zaidi ya million 600.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😆😆😆Mungu hajengi hospitali
Mungu hajengi barabara
Mungu Hajengi Shule
Mungu Hatoi Ajira.
Mungu alishajitoa na mambo ya wanadamu, alishawaachia mamlaka yote. Ndio maana ukifanya uhalifu leo, Mungu hatakuhukumu, wapo polisi, magereza, majaji na mahakimu WA kudili na wewe.
Kumhusisha Mungu kwenye mambo yasiyo mhusu ni dalili ya kutokujitambua
Hili la uzazi anajaribu TU kufuta nyayo zake kaa mtu mwenye wivu huko kijijini,Elimu hio hata watu wa duni yake watampinga tu.Mh Rais ameongea ukweli kabisa, anapaswa kuungwa mkono na wadau wote.
My people are destroyed for lack of knowledge.Unashabikia udhalimu?Yeremiah 4:1 kabla hujazaliwa nalikujua na baada ya kuzaliwa nikakutakasa.Jiulize mwenyewe anayefanya watu wawepo ni nani?Mimi nasema kwa sababu namjua na wewe washabikia kwa sababu humjui.Fanya juhud kuthibitisha uwepo wa mungu.You are right, they "abuse" this name, God!!!!!!!!!
Huko maporini wapelekeni bodaboda, wapiga debe stendi, watembeza maji, ukwaju, mahindi, pipi n.k mijini na stendi,Tanzania hiii ambayo zaidi ya Nusu ya Nchi ni mapori?.
Watu wazae !!.
UONGO,Uchina ,India ,Leo wako mbali kiuchumi Kwa sababu ya idadi kubwa ya Watu.
Na Nigeria piaChina na India wako mbali wapi, wakati ndio watu wanaoongoza kwa kutangatanga Duniani?