JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
ni nani anayeweza kumpangia mungu kwamba sasa ivi dunian kuwe na watu wangapi?Ebu tuwaacheni watu wazaliane Mungu ndiye ajuaye atawahifadh vpi watu wake.Rais wa Samia Suluhu Hassan ameyasema hayo wakati akihutubia katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere (JNICC), Julai 26, 2023 Jijini Dar es Salaam.
Amesema “Lazima tuwafundishe Watoto wetu kuhusu uzazi wa mpangilio, kama nilivyosema Afrika idadi ya watu ni kubwa, inaweza kutuletea tija au ikaeta mambo yasiyofaa kama hatutaitumia vizuri.”
ni nani anayeweza kumpangia mungu kwamba sasa ivi dunian kuwe na watu wangapi?Ebu tuwaacheni watu wazaliane Mungu ndiye ajuaye atawahifadh vpi watu wake.
You are right, they "abuse" this name, God!!!!!!!!!Mungu hajengi hospitali
Mungu hajengi barabara
Mungu Hajengi Shule
Mungu Hatoi Ajira.
Mungu alishajitoa na mambo ya wanadamu, alishawaachia mamlaka yote. Ndio maana ukifanya uhalifu leo, Mungu hatakuhukumu, wapo polisi, magereza, majaji na mahakimu WA kudili na wewe.
Kumhusisha Mungu kwenye mambo yasiyo mhusu ni dalili ya kutokujitambua
Kwamba Mungu ndiye ajuaye atawahifadhi vipi?! Yaani wazaliane na tubweteke tumwachie Mungu?!ni nani anayeweza kumpangia mungu kwamba sasa ivi dunian kuwe na watu wangapi?Ebu tuwaacheni watu wazaliane Mungu ndiye ajuaye atawahifadh vpi watu wake.
Ni kweli. Population ina faida/hasara kutegemeana na mazingira.Uchina ,India ,Leo wako mbali kiuchumi Kwa sababu ya idadi kubwa ya Watu.
Uchina ,India ,Leo wako mbali kiuchumi Kwa sababu ya idadi kubwa ya Watu.
Tusizae Ili Bandari wamiliki waarabuRais wa Samia Suluhu Hassan ameyasema hayo wakati akihutubia katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere (JNICC), Julai 26, 2023 Jijini Dar es Salaam.
Amesema “Lazima tuwafundishe Watoto wetu kuhusu uzazi wa mpangilio, kama nilivyosema Afrika idadi ya watu ni kubwa, inaweza kutuletea tija au ikaeta mambo yasiyofaa kama hatutaitumia vizuri.”
Nafikiri alipaswa kulisema hili. Huwezi kumpangia MTU idadi ya watotoTuwafundishe uzalendo wasije kuuza rasilimari za Nchi kama sisi.
China na India wako mbali wapi, wakati ndio watu wanaoongoza kwa kutangatanga Duniani?Uchina ,India ,Leo wako mbali kiuchumi Kwa sababu ya idadi kubwa ya Watu.