Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Pamoja na kuwa kuhani hakuna kipindi maalum………..lakini muda wote huoooo!!!!? Au naye alikuwa anawaza kama MATAGA wengine walivyokuwa wanafikiri kuwa, baada ya MWENDAZAKE "kwenda zake",basi ndiyo mwisho wa TZ!?Mnafiki utamjua tu.kagame ni mtu mwingine,kama jirani na rafiki wa magufuri hakuja msiba Leo ndo àtoe pole,huo ni kumsanifu rais wetu
Huo ulikua udaku,usalama wa taifa na jw, wasingekubali dharau hiyoKikulacho kinguuoni mwako. Wale walinzi wa mwendazake waliokuwa wanatajwa tajwa kutoke Rwanda walisharudi au ilikuwa udaku kama udaku mwingine?
Pole za msiba hazina ukomo, hata baada ya miaka kadha unaruhusiwa kutoa pole!Mnafiki utamjua tu.kagame ni mtu mwingine,kama jirani na rafiki wa magufuri hakuja msiba Leo ndo àtoe pole,huo ni kumsanifu rais wetu
Kagame alikuwa rafiki wa magufuli?Mnafiki utamjua tu.kagame ni mtu mwingine,kama jirani na rafiki wa magufuri hakuja msiba Leo ndo àtoe pole,huo ni kumsanifu rais wetu
watanzania tunatatizo gani? kagame mnafiki, wakenya wajanja ....tunashirikiana na nchi gani kama hatuwaamini wote?Mnafiki utamjua tu.kagame ni mtu mwingine,kama jirani na rafiki wa magufuri hakuja msiba Leo ndo àtoe pole,huo ni kumsanifu rais wetu
Kabla awajazulumianaKagame alikuwa rafiki wa magufuli?